Mimi tu, mimi pekeyangu nimebaki

Mimi tu, mimi pekeyangu nimebaki

njoo Ukonga fasta utarudi nayo.... Tena mbegu ni HQ Digitali kabisa... Mtoto anatoka na IQ Kama Albert Einstain na Mzuri

Wooooooh!!! Tatizo fastjet imejaa mpaka August.... anyway tuvute subra!!
 
Kutiki muramu!! Yaan ninavyoitaka acha tu... nilienda likizo kuisaka kwani nimeipata sasa.....

Issue ni hao wanaume hawakupatii ! Kuna milalo specific ya how to seek well-conceived!
Hata mswaki , huwezi piga kwenye ncha ya ulimi ukaishia hapo! (hujaswaki bado!)
ama ukaufikisha hadi kwenye oesophagus!
Kuna angel specific patakiwapo kuuvinjarisha mswaki.
Sijui naeleweka?
 
Hata sishtuki
Yani niache mautamu ya Erickb52
Labda ni desh desh.....

Ndiyo maana mdogo wangu 52 kukicha ananiagizia Asali kila nikienda Mboka, na huo utamu unaoutangaza ! Nadhani hua anaupakaa asali. Huja notice? Au ni wenyewe tu mkavu bila asali ?
Hebu tomboka Chocs!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana mdogo wangu 52 kukicha ananiagizia Asali kila nikienda Mboka, na huo utamu unaoutangaza ! Nadhani hua anaupakaa asali. Huja notice? Au ni wenyewe tu mkavu bila asali ?
Hebu tomboka Chocs!
Ha ha ha ha ha ha
Daaarrh
 
Issue ni hao wanaume hawakupatii ! Kuna milalo specific ya how to seek well-conceived!
Hata mswaki , huwezi piga kwenye ncha ya ulimi ukaishia hapo! (hujaswaki bado!)
ama ukaufikisha hadi kwenye oesophagus!
Kuna angel specific patakiwapo kuuvinjarisha mswaki.
Sijui naeleweka?

Nshakupata... hebu nieleweshe hiyo milalo ya kuisaka hiyo :mimba:
 
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...

Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???

Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...

1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA

Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!

me naweza kukupa
 
Ndiyo maana mdogo wangu 52 kukicha ananiagizia Asali kila nikienda Mboka, na huo utamu unaoutangaza ! Nadhani hua anaupakaa asali. Huja notice? Au ni wenyewe tu mkavu bila asali ?
Hebu tomboka Chocs!
Yani we Judgement acha tu siwezi sema mengi humu ila ujue without Erickb52.............siwezi pata hiyo starehe kungine!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha ...........lolest

Mara tu domo limeshakujaa mate?
Sasa hapo ndo umeongea nini? Alaaa!
Mie siko hapa kuskiliza vicheko vya watu!
Niko kuskiliza maneno ya watu! Eboooh!
Unauzaje utumbo kisha uogope nzi?
 
Mara tu domo limeshakujaa mate?
Sasa hapo ndo umeongea nini? Alaaa!
Mie siko hapa kuskiliza vicheko vya watu!
Niko kuskiliza maneno ya watu! Eboooh!
Unauzaje utumbo kisha uogope nzi?
Unakasrika ni n sasa..!
Hutaki niongeze siku za kuishi........kaaaaaaaaaaaaah
 
Unakasrika ni n sasa..!
Hutaki niongeze siku za kuishi........kaaaaaaaaaaaaah

Sasa uongeze wewe tu? We wacheka mi sicheki !
We waongeza siku, mie zangu zimeganda!
Nchekeshe sasa na mimi fasta!
 
nimeamini hauna kigugumizi Judgement
Ndiyo maana mdogo wangu 52 kukicha ananiagizia Asali kila nikienda Mboka, na huo utamu unaoutangaza ! Nadhani hua anaupakaa asali. Huja notice? Au ni wenyewe tu mkavu bila asali ?
Hebu tomboka Chocs!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom