Mimi sina Dini, Nitapata Mke Mwenye itokadi kama yangu?

Mimi sina Dini, Nitapata Mke Mwenye itokadi kama yangu?

"Mwanaume kuoa na miaka 25 ni sawa na kuondoka night club saa tatu usiku"
Kwa nn mkuu, kuchelewa kuoa kwa wanaume wengi yaani above 25 sababu kubwa ni mambo ya kiuchumi zaidi kama kipato hakijaimairika huwezi oa mapema lakin kama uko vzr kwa nn usubiri 30 yrs
 
Wapo ila kwa muda huu wakati unasubiri ulizia ulizia kama faru John aliacha binti ukajaribu na kwake.
 
Kwa nn mkuu, kuchelewa kuoa kwa wanaume wengi yaani above 25 sababu kubwa ni mambo ya kiuchumi zaidi kama kipato hakijaimairika huwezi oa mapema lakin kama uko vzr kwa nn usubiri 30 yrs
Na unawahia nini mpendwa, hebu vunja vunja mifupa kwanza kabla haujawa kobogoyo
 
Wakuu nimekuwa nikiishi bila kuamini chochote kwa miaka 8 sasa. Usiniulize kwa nini, we jua nipo hivyo, siamini uwepo wa mungu na hata shetani.

Nimedate na wanawake 7 mpaka sasa, na sasa nina miaka 25.
Kwa sasa Nina mahusiano na binti mmoja yeye ni mkatoliki mwenye imani sana na huwa hapendi ucheze na Mungu.

Nimemweleza nataka kumwoa na ningependa iwe kabla ya mwaka huu akasema mpaka awasiliane na wazazi.

Nilifanya mipango kama tamaduni zetu za kitanzania za kumtuma mshenga.
Ikafika kwenye suala la ndoa, hapo ndio mtiti ulipo anzia.

Mwazoni binti alijua mimi ni mkatoliki na huwa namdanganya mara nyingi nimekwenda kanisani. Huwa ananielewa sana kutokana na ustaarabu na ukarimu nilionao.

Ila mwezi wa 11 ndipo nilipoweleza ukweli kuwa siwezi funga ndoa ya kanisani kwakuwa mimi sina dini na siamini uwepo wa mungu.

Binti hakuamini maneno yangu mpaka ikafikia kuamini natumia mbinu hiyo kumkataa.
Nilimweleza km yupo tayari twende tukafunge ndoa ya serikali.

Binti alikataa na kusema imani yake haimruhusu kuishi na mtu ambae haamini chochote na hata wazazi wake wasinge afiki kitu km hicho licha ya kumsisitiza lazima aolewe na mkatoliki tu.

Imebidi tuvunje mahusiano yetu na sasa nimeamua kutuliza kichwa kwanza.

Napenda kuuliza hii kitu, kuna wasichama ambao hawaamini uwepo wa mungu au ambao hawana dini kabisa?

Je nitaweza pata binti ambae anaendana na msimamo wangu?

Ushauri tafazali, ila usijikite kuuliza kwa nini sina dini.
Hata hao wanaosema wana dini ukiwachunguza hawana dini.

Sent from my Kimulimuli
 
Du. Hatari. Humjui MUNGU????

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na hela tu utawapata

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hata hao wanaosema wana dini ukiwachunguza hawana dini.

Sent from my Kimulimuli
Kwa vitendo ni kweli hawana dini lakini ndani ya nafsi zao wanaamini. Umenikumbusha Catholic theology philosopher mmoja hivi anaitwa Jacques Maritain huyu katika makundi yake mawili ya atheists moja linasema kuwa atheists ni mtu ambaye anamkubali mungu kichwani(akilini) lakini kwa vitendo anapishana na maagizo ya mungu. Sijui ndio hao unaowazungumzia?
 
Dini ni greese ndani ya ndoa isipokuwepo chuma kinaota kutu na kuoza kbs ( ndoa inakufa) lazima iwepo.
 
Mimi najua kwanini huamini dini yeyote...



Nakushauri nenda Lutheran church

Wengine tofauti na hapo ni wahuni tu.
 
Mbona unatudanganya huna imani wakati unayo.. "We kuamin katika kutokuamini chochote tayari ni imani.. "
Kwa wakristo tunakuita mpagani... Ko wew una imani ya kipagani..
Anzia hapo utapata tu mpagani mwenzio..
Umefeli mkuu!

Sent by Ubavu
 
Mkuu unanitia aibu mpagani mwenzako sisi hatuna cha kupoteza we funga nae tu ndoa kanisani then kila mtu aendelee na ustaraabu wake
100%,kama ulikuwa kichwani kwngu.You got nothing to loose hata taratibu zote za kanisa ukizifuata hadi hapo fungate itakapokamilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom