Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Kama ni rafiki hakika umempata![emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] evaaa ...

kwa kweliKama ni rafiki hakika umempata![emoji23]
Abeee Madame teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] evaaa ...
Una miaka mingapi Ndoanimkuu ktk age hiyo inawezekana ni kujipanga tu nakujua unataka nn ktk maisha.
mm nimeoa nikiwa na miaka 25. nina watoto wawili na hata sijafikisha miaka 30. na tunafurahia maisha. plus wife nae akili nyingi basi amani tu na a very bright future ahead of us
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thank uuuAbeee Madame teh
Una miaka mingapi Ndoani
Kwenye madanguro wapo utapataWakuu nimekuwa nikiishi bila kuamini chochote kwa miaka 8 sasa. Usiniulize kwa nini, we jua nipo hivyo, siamini uwepo wa mungu na hata shetani.
Nimedate na wanawake 7 mpaka sasa, na sasa nina miaka 25.
Kwa sasa Nina mahusiano na binti mmoja yeye ni mkatoliki mwenye imani sana na huwa hapendi ucheze na Mungu.
Nimemweleza nataka kumwoa na ningependa iwe kabla ya mwaka huu akasema mpaka awasiliane na wazazi.
Nilifanya mipango kama tamaduni zetu za kitanzania za kumtuma mshenga.
Ikafika kwenye suala la ndoa, hapo ndio mtiti ulipo anzia.
Mwazoni binti alijua mimi ni mkatoliki na huwa namdanganya mara nyingi nimekwenda kanisani. Huwa ananielewa sana kutokana na ustaarabu na ukarimu nilionao.
Ila mwezi wa 11 ndipo nilipoweleza ukweli kuwa siwezi funga ndoa ya kanisani kwakuwa mimi sina dini na siamini uwepo wa mungu.
Binti hakuamini maneno yangu mpaka ikafikia kuamini natumia mbinu hiyo kumkataa.
Nilimweleza km yupo tayari twende tukafunge ndoa ya serikali.
Binti alikataa na kusema imani yake haimruhusu kuishi na mtu ambae haamini chochote na hata wazazi wake wasinge afiki kitu km hicho licha ya kumsisitiza lazima aolewe na mkatoliki tu.
Imebidi tuvunje mahusiano yetu na sasa nimeamua kutuliza kichwa kwanza.
Napenda kuuliza hii kitu, kuna wasichama ambao hawaamini uwepo wa mungu au ambao hawana dini kabisa?
Je nitaweza pata binti ambae anaendana na msimamo wangu?
Ushauri tafazali, ila usijikite kuuliza kwa nini sina dini.
Hongera sanaminne
Sasa unadhani watu kama hawa si ndo Wajenzi huru.....hawaamin kwamba waliumbwa...[emoji3] [emoji3] samahani, umewaza nini
Na mwanaume kuoa na miaka 18 ni sawa kuondoka night club saa ngapi jion...?"Mwanaume kuoa na miaka 25 ni sawa na kuondoka night club saa tatu usiku"
Hongera sana
Usijar utapata. Mwanamke siku zote huwa chini ya mwanaume. Kama umeweza kuamini hakuna uwepo wa mungu, basi kwa facts ambazo zilikufanye wewe usiamini, unaweza mfungua macho na mwenzako.Wakuu nimekuwa nikiishi bila kuamini chochote kwa miaka 8 sasa. Usiniulize kwa nini, we jua nipo hivyo, siamini uwepo wa mungu na hata shetani.