General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
hata mm simjui etiDu. Hatari. Humjui MUNGU????
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Sent From Ikulu-Magogoni street
hata mm simjui etiDu. Hatari. Humjui MUNGU????
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hahaa sijamuoa bado, ila nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumbadilisha japo yupo mguu nje...always tatizo ni jamii iliyotuzungukamkuu ww umemuoa antheist?
Sent From Ikulu-Magogoni street
Napenda kuuliza hii kitu, kuna wasichama ambao hawaamini uwepo wa mungu au ambao hawana dini kabisa?
Je nitaweza pata binti ambae anaendana na msimamo wangu?
Atheist anayekubali kuwepo Mungu ni sawa na kipara aliyesuka nywele.Kwa vitendo ni kweli hawana dini lakini ndani ya nafsi zao wanaamini. Umenikumbusha Catholic theology philosopher mmoja hivi anaitwa Jacques Maritain huyu katika makundi yake mawili ya atheists moja linasema kuwa atheists ni mtu ambaye anamkubali mungu kichwani(akilini) lakini kwa vitendo anapishana na maagizo ya mungu. Sijui ndio hao unaowazungumzia?