Mimi sikutokwa damu

Mimi sikutokwa damu

Nimeona wengi wanatoa expirience zao waliokutana na bikira wakazitoa na waliotolewa

Comments za wengi humu wanasema bikira inahusanisha damu mara maagano kiufupi kuna utepe ambao ukiukata unatoa damu. Mimi nitawaeleza kwa namna yangu ilivyotokea.

Kwanza kabisaa sijapata hiyo damu inayoongelewa. Kwa mara ya kwanza kufanya sex sikutokwa na damu yoyote zaidi ya maumivu makali niliyoyapata…

Nataka nijue sasa Kama damu haijatoka inamaana huo utepe ulitoka tu wenyewe ama ( Hili swali niliulizwa na mwanaume wangu wa kwanza mbona Hakuna damu nikasema sijui kuhusu hiyo dhana)

Na vipi hiyo dhana ya wanaume kuamini kuwa mtu ili awe bikira lazima siku ya kwanza damu itoke

Je sisi tusiotokwa damu tunakuwa upande gani na je Kama damu haijatoka hilo agano mnalolisemea nyie ni lipi??

Nawasilishaa
Ndio maana yule jamaa yako ulivyomuhadithia ulivyotolewa bikra akakukimbia [emoji23][emoji23][emoji23] labda amedhani aliyekutoa amekosea njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha Kwahiyo Mkuu unataka kusema iliyotolewa Ni Bikra Saidizi? Hahahahaha
 
Nimeona wengi wanatoa expirience zao waliokutana na bikira wakazitoa na waliotolewa

Comments za wengi humu wanasema bikira inahusanisha damu mara maagano kiufupi kuna utepe ambao ukiukata unatoa damu. Mimi nitawaeleza kwa namna yangu ilivyotokea.

Kwanza kabisaa sijapata hiyo damu inayoongelewa. Kwa mara ya kwanza kufanya sex sikutokwa na damu yoyote zaidi ya maumivu makali niliyoyapata…

Nataka nijue sasa Kama damu haijatoka inamaana huo utepe ulitoka tu wenyewe ama ( Hili swali niliulizwa na mwanaume wangu wa kwanza mbona Hakuna damu nikasema sijui kuhusu hiyo dhana)

Na vipi hiyo dhana ya wanaume kuamini kuwa mtu ili awe bikira lazima siku ya kwanza damu itoke

Je sisi tusiotokwa damu tunakuwa upande gani na je Kama damu haijatoka hilo agano mnalolisemea nyie ni lipi??

Nawasilishaa
Damu inategemea umri wa mhusika na maumbile ....kwa uzoefu wangu nimesha watoa bikra madem kadhaa ila walio toka damu hawazidi 3 [emoji16]
 
Nimeona wengi wanatoa expirience zao waliokutana na bikira wakazitoa na waliotolewa

Comments za wengi humu wanasema bikira inahusanisha damu mara maagano kiufupi kuna utepe ambao ukiukata unatoa damu. Mimi nitawaeleza kwa namna yangu ilivyotokea.

Kwanza kabisaa sijapata hiyo damu inayoongelewa. Kwa mara ya kwanza kufanya sex sikutokwa na damu yoyote zaidi ya maumivu makali niliyoyapata…

Nataka nijue sasa Kama damu haijatoka inamaana huo utepe ulitoka tu wenyewe ama ( Hili swali niliulizwa na mwanaume wangu wa kwanza mbona Hakuna damu nikasema sijui kuhusu hiyo dhana)

Na vipi hiyo dhana ya wanaume kuamini kuwa mtu ili awe bikira lazima siku ya kwanza damu itoke

Je sisi tusiotokwa damu tunakuwa upande gani na je Kama damu haijatoka hilo agano mnalolisemea nyie ni lipi??

Nawasilishaa
Nina ujumbe wako kutoka juu. Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom