Mimi sikutokwa damu

Mimi sikutokwa damu

Bikra ni kitendo cha kutokufanya mapenzi kabla, utepe au hymen kwa kimatumbi ni aina ya tissue kanakuwepo kwenye uke na huo utepe ukivunjwa ndio kuna damu inatoka, sasa wengine hupoteza tepe zao mapema kama kwenye michezo, mazoezi, kuvaa tampon, kujiingiza vidole n.k,

Ila unapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza pale ni umeitoa bikra yako utoke damu au usitoke.
 
Nimeona wengi wanatoa expirience zao waliokutana na bikira wakazitoa na waliotolewa

Comments za wengi humu wanasema bikira inahusanisha damu mara maagano kiufupi kuna utepe ambao ukiukata unatoa damu. Mimi nitawaeleza kwa namna yangu ilivyotokea.

Kwanza kabisaa sijapata hiyo damu inayoongelewa. Kwa mara ya kwanza kufanya sex sikutokwa na damu yoyote zaidi ya maumivu makali niliyoyapata…

Nataka nijue sasa Kama damu haijatoka inamaana huo utepe ulitoka tu wenyewe ama ( Hili swali niliulizwa na mwanaume wangu wa kwanza mbona Hakuna damu nikasema sijui kuhusu hiyo dhana)

Na vipi hiyo dhana ya wanaume kuamini kuwa mtu ili awe bikira lazima siku ya kwanza damu itoke

Je sisi tusiotokwa damu tunakuwa upande gani na je Kama damu haijatoka hilo agano mnalolisemea nyie ni lipi??

Nawasilishaa
Ilitoka nikakufuta bila wewe kujua

Acha ubishi
 
Kweli???? Naweza kuona kama dam haitoki?
 
Au Mkuu haijatolewa vizuri nije niitoe Mimi maana unataka mpaka nyasi ziumie wakutanapo Mafahari wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom