Wazungu wameingiaje tena hapo?Du wazungu wazinguaji
Umeona eeh? Wazungu buana.Du wazungu wazinguaji
wazungu wa ungaWazungu wameingiaje tena hapo?
Ooh!! Sawa mkuu jamaa aliniacha mbaliwazungu wa unga
Uchaguzi mkuu kabibi kaliniuliza nikaelekeze jinsi ya kupiga kura, ila akasema anataka nyerere, ni kamwambia alishakufa, akasema wa chama cha nyerere, nikamuonesha lowasa akasema kweli anafanana na baba yake, akampigia lowasa akasepa, nilicheka moyoni.Bibi yangu alikuwa anauliza Nyerere wa sasa ni nani?
Wewe kura ya uncle uliipaisha kwa Ngoyai. Nimecheka sanaUchaguzi mkuu kabibi kaliniuliza nikaelekeze jinsi ya kupiga kura, ila akasema anataka nyerere, ni kamwambia alishakufa, akasema wa chama cha nyerere, nikamuonesha lowasa akasema kweli anafanana na baba yake, akampigia lowasa akasepa, nilicheka moyoni.