Upo sahihi kabisa Simba D, wahindi hata wao wanabaguana kwa ngazi: Inaitwa caste system. Hata wao wenyewe hawachangamani sana kama hawatoki state moja, ni kwenye usakaji wa njuru unawaita wote wahindi. Kwa ujumla kuna wa Kerala, Tamilnadu, Kranataka, Mumbai, Orisa, nk. kulingana na states wanazotoka. Kuna zaidi ya states 25 india. Wanatambuana kwa hizo states, na wanabaguana na kuchangamana kulingana na hizo States.
Wahindi Wakerala ni watafutaji sana- ni wafanya biashara kubwa na ndogo, za kweli na za wizi, ndio hao utawakuta nchi zote duniani wakisaka senti. Hata kwetu Tanzania wakerala ni zaidi ya asilimia 90. Hao wanachukiwa na wahindi wenzao wanaotoka states zingine.
Kuhusu ubaguzi, kwa mhindi mwafrika yupo chini ya binadamu wote- katika caste system yao. Ndio maana unaona hata hawafanyi sana uhusiano na waafrika, na moja akimpenda mhindi, akikubali wanamtenga.
WanaJF watumie lugha zote wanazoweza kukuita kwa kuanzisha hii thread lakini huu ndio ukweli kuhusu Wahindi ni WABAGUZI wa hali ya juu duniani, sio tu Tanzania. Kuhusu kujenga, mhindi popote pale, anapanga, pesa anazisaka na kuzifoward kwao. Hata akiwa ulaya mhindi anapeleka hela home kwa mujibu wa utaratibu wao. Hawawekezi ugenini kwa faida ya wageni. Ona walivyofilisi TRC, walipeleka vichwa kwao wakarudisha vibovu, na mengine mengi. Mhindi sio mtu.