Mimi si mbaguzi lakini sina imani na wahindi

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
197
Jamani ee mimi ni mtanzania halisia baba yangu mzawa wa Morogoro, halaf mama yangu mzawa wa Kihagara, Mbinga huko ziwa Nyasa jimbo la gamba Komba. Kifupi mimi imani yangu inakuwa ndogo sana na hawa ndugu zetu wahindi kwa ushawishi wa vitu vifuatavyo

1. Sio watu wa kujichanganya hata kwa kuzaa na waswahili na ikitokea mmoja amepotoka basi watamtenga.

2. Sijawahi kuona muhindi amenunua kiwanja na kujenga makazi ya kudumu zaid ya kupangapanga tu hata kama wana uwezo.

3. Wanakua na mijumuiko mikubwa ambayo wanaiita ya kiimani.

4; na muhimu. Wanakuwa na kama hasira flan na watu weusi hasa waswahili zaidi dada zetu mahausigel mpaka inatia woga halaf muhindi hata azaliwe Kariako bado hawana umuhimu na kiswahili ya mkono anaita kono. Mi nahisi labda lile AZIMIO LA ARUSHA lisije likatuzalishia visasi jamani hebu wenzangu mnafikiria je?
 
Wenye Mawazo ya kibaguzi wote katika Tanzania wana mtindio wa ubongo
 
jamani ee mimi ni mtanzania halisia babaangu mzawa wa morogoro halaf mama angu mzawa wa kihagara, mbinga huko ziwa nyasa jimbo la gamba Komba. Kifupi mimi imani yangu inakuwa ndogo sana na hawa ndugu zetu wahindi kwa ushawishi wa vitu vifuatavyo 1. Sio watu wa kujichanganya hata kwa kuzaa na waswahili na ikitokea mmoja amepotoka basi watamtenga. 2. Sijawahi kuona muhindi amenunua kiwanja na kujenga makazi ya kudumu zaid ya kupangapanga tu hata kama wana uwezo. 3. Wanakua na mijumuiko mikubwa ambayo wanaiita ya kiimani. 4na muhimu. Wanakuwa na kama hasira flan na watu weusi hasa waswahili zaidi dada zetu mahausigel mpaka inatia woga halaf muhindi hata azaliwe kariako bado awana umuhimu na kiswahili ya mkono anaita kono. Mi nahisi labda lile AZIMIO LA ARUSHA lisije likatuzalishia visasi jamani hebu wenzangu mnafikiliaje?
Simba d,
Nyumba zote za mijini Tanzania nzima karibia zote ni za wahindi walinyanganywa na serikali.
Nenda posta yote kisutu yote wamejenga wahindi.
Nenda Mwanza town yote wamejenga wahindi.
Ubaguzi wa Mara, Tarime watu wanachinjana wahindi ndio wamesababisha?
 
if u cant them join them to eat fruits of the world'
me i have started u??
 
Upo sahihi kabisa Simba D, wahindi hata wao wanabaguana kwa ngazi: Inaitwa caste system. Hata wao wenyewe hawachangamani sana kama hawatoki state moja, ni kwenye usakaji wa njuru unawaita wote wahindi. Kwa ujumla kuna wa Kerala, Tamilnadu, Kranataka, Mumbai, Orisa, nk. kulingana na states wanazotoka. Kuna zaidi ya states 25 india. Wanatambuana kwa hizo states, na wanabaguana na kuchangamana kulingana na hizo States.

Wahindi Wakerala ni watafutaji sana- ni wafanya biashara kubwa na ndogo, za kweli na za wizi, ndio hao utawakuta nchi zote duniani wakisaka senti. Hata kwetu Tanzania wakerala ni zaidi ya asilimia 90. Hao wanachukiwa na wahindi wenzao wanaotoka states zingine.

Kuhusu ubaguzi, kwa mhindi mwafrika yupo chini ya binadamu wote- katika caste system yao. Ndio maana unaona hata hawafanyi sana uhusiano na waafrika, na moja akimpenda mhindi, akikubali wanamtenga.

WanaJF watumie lugha zote wanazoweza kukuita kwa kuanzisha hii thread lakini huu ndio ukweli kuhusu Wahindi ni WABAGUZI wa hali ya juu duniani, sio tu Tanzania. Kuhusu kujenga, mhindi popote pale, anapanga, pesa anazisaka na kuzifoward kwao. Hata akiwa ulaya mhindi anapeleka hela home kwa mujibu wa utaratibu wao. Hawawekezi ugenini kwa faida ya wageni. Ona walivyofilisi TRC, walipeleka vichwa kwao wakarudisha vibovu, na mengine mengi. Mhindi sio mtu.
 
upo sahihi kwanza hamuoni kwenye bunge letu wamejaa lakini nenda bunge la india kama utakuta hata mfagiaji mbantu lakini hapa sisi hapa ndo tunawanyenyekea mpaka tunawaona miungu wakati waliletwa kutengeneza reli tu.
 
Nyumba zote za mijini Tanzania nzima karibia zote ni za wahindi walinyanganywa na serikali.
Nenda posta yote kisutu yote wamejenga wahindi.
Nenda Mwanza town yote wamejenga wahindi.
Sawa.

Mhindi alijenga kwenye viwanja vya nani?
 
ni wabagezi na wanatudharau sana.hawaoni tatizo kuktemea mate chini wenyewe wakiwa juu ghorofani.wanatudhalilisha sana kwa matusi unapokuwa umeajiliwa kwao.mimi siwaelewi.
mia
 
Wanaobisha humu ndani kuwa wahindi si wabaguzi ni ma-juha
mimi binafsi, watu walikuwa wakiongelea wahindi vibaya, nilikua naona wao ndo wabaguzi. niliwapenda sana wahindi ndo maana niliamua kusoma india.

MImi nimesoma India zaidi ya miaka 4. nawafahamu wahindi nje na ndani. NI KWELI KABISA WAHINDI NI WABAGUZI.
Mbali na ubugazi WAHINDI hawana utu kabisa. Ni wanafiki na hupenda kujipendekeza ukiwa na mali, kwa sababu wahindi wanapenda sana hela,
ukiwa maskini, wahindi wanakuona kama mbwa...

Nina Evidence nyingi sana kwa experience ya maisha yangu ya india. Ndo maana kila siku napinga swala la wadogo zetu kwetu india kusoma.
kuna madogo walichomewa nyumba yao India, kisa ubaguzi.

Wahindi si watu, kabisa... "madada zetu wale wanaojifanyaga wapenda pesa za kuhongwa, kule india walikuwa wanafanyiwa unyama sana".. nadhani mmenielewa. nina mifano mingi sana.

Kiufupi sipendia wahindi kabisaaa angalieni hata waTZ wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kihindi hapa Tz wanavyo nyanyaswa. ma-house girl, ndo kabisa wanachukuliwa kama mbwa. Jamani wahindi sio watu
 
Wasiowafahamu wahindi wawatetee tu, lakini kwa wanaofahamu mhindi sio mtu, ana roho ya kinyama, hata akiwa akiwa shekhe, mchungaji au sijui nini. Ni wanafiki wakubwa na wakatili kwa binadamu asiye mhindi, hasa waafrika.
 
ndo mana utakuta mtu una diploma ya medicine unalipwa 500000 lakini muhindi mwenzao wanamlipa $700 i hate' em
 
Na Watanzania tukagombee Ubunge India, tuone kama ni ndugu wa wakweli, au ni undugu wa rasilimali zetu tu? Wanakuwa Watanzania wanapotaka kula keki tamu ya uchumi wetu tu, katu mhindi si mtanzania?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom