Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

Mama weka picha basi usije ukawa kama masoud sura mbaya!
Ziada:hivi wowowo unalo manake hiki kigezo ni muhimu sana kwangu!
 
Nipo tayari, ila una **** la kutosha, mm napiga ile kitu, tigo baaaaaaaash.......i have more than those qualities hapo juu, ila ukiwa mfupi, mweusi, huna **** la kutosha sitaki...
 
mimi ni msema ukweli, sina chochote sina kazi wala nini ilia ntafruhi sana kama utampata mtu mwenye hivyo vigezo ila mimi ntakuwa msaidizi wake kwani najua mtu mwenye fedha nyingi na gari zuri basi hata kwenye faragha hatokuwa mzuri kutokana na kuwa bize ila mimi ni mtaalam wakuzama chumvini kwa masaa 6 bila kupumzika ni ntakuwa available anytime kama utanihitaji mimi ni hayo tu hao wanao kejeli waache hawajui maana


Haya ndio majibu,aisee chukua 5.Kama huna kitu unakuwa muwazi then unapangawa majukumu mengine kama ya usaidizi ha ha ha.Yaani hao wenye kejeli mi na-enjoy kuwajibu wala usihofu.
 
Mi sina kitu ila pia nahitaj na mi mchumba!.niangalizie hata kwa jiran yako apo kama kuna ambae hana mashart ya kibilionea kama ww!
 
Kwanza hongera kwa kujaribu bahat yako huenda ukabahatika kupata, pili pole kwa kukosa mvuto hadi kufikia kujinad kama una uza biashara, tatu umetotoa applicant's qualification but why did n't u tells about yours, Nne najua pesa ina nafas ktk mapenz lakin real love doesnt depend on one's wealth je huon kuwa utakuwa huna tofaut na anayejiuza indirectly coz utakuwa humpend mpenz wako kama alivyo bal unampenda kwa alivyokuwa navyo? ILA SHETAN AKUSAIDIE KTK HILO


Nilitaka nikujibu,nimeona nikuache tu
 
aiseee unayoyataka utayapata lakini hutapata upendo wa kweli, vile vile kama wewe wapo wengi so u can get them at any time t, then the way ulivyojiexppress unaonekana unataka vitu ambavyo wewe huna, gari pesa elimu roho ya kutoa. ila nisikukatishe tamaa, keep up utapata mbona tupo wengi

Stop judging people u don't know,elimu ipo ya juu na ya kutosha,gari lipo lakini nataka mtu mwenye kali kuliko langu.Fedha za matumizi ya kawaida zipo.Wanaume wengi siku hz wanapenda mteremko sana hao siwataki.Wanaume mmesahau majukumu yenu loh
 
Back
Top Bottom