Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.
-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

mimi ni msema ukweli, sina chochote sina kazi wala nini ilia ntafruhi sana kama utampata mtu mwenye hivyo vigezo ila mimi ntakuwa msaidizi wake kwani najua mtu mwenye fedha nyingi na gari zuri basi hata kwenye faragha hatokuwa mzuri kutokana na kuwa bize ila mimi ni mtaalam wakuzama chumvini kwa masaa 6 bila kupumzika ni ntakuwa available anytime kama utanihitaji mimi ni hayo tu hao wanao kejeli waache hawajui maana
 
unajua tatizo nini hapo....wenye hizo sifa hawatafutwi kwa stail hii, not enough hawakutaki, you are not the one to choose them, they are to choose you! oiste mima..

hapo chacha,wenzake wanatafutwa,ye anatafuta tena jf,hawa watu sijui nani huwa anawadanganya mwee
 
mimi ni msema ukweli, sina chochote sina kazi wala nini ilia ntafruhi sana kama utampata mtu mwenye hivyo vigezo ila mimi ntakuwa msaidizi wake kwani najua mtu mwenye fedha nyingi na gari zuri basi hata kwenye faragha hatokuwa mzuri kutokana na kuwa bize ila mimi ni mtaalam wakuzama chumvini kwa masaa 6 bila kupumzika ni ntakuwa available anytime kama utanihitaji mimi ni hayo tu hao wanao kejeli waache hawajui maana

huu sasa utoto!!
 
Kwanza hongera kwa kujaribu bahat yako huenda ukabahatika kupata, pili pole kwa kukosa mvuto hadi kufikia kujinad kama una uza biashara, tatu umetotoa applicant's qualification but why did n't u tells about yours, Nne najua pesa ina nafas ktk mapenz lakin real love doesnt depend on one's wealth je huon kuwa utakuwa huna tofaut na anayejiuza indirectly coz utakuwa humpend mpenz wako kama alivyo bal unampenda kwa alivyokuwa navyo? ILA SHETAN AKUSAIDIE KTK HILO
 
aiseee unayoyataka utayapata lakini hutapata upendo wa kweli, vile vile kama wewe wapo wengi so u can get them at any time t, then the way ulivyojiexppress unaonekana unataka vitu ambavyo wewe huna, gari pesa elimu roho ya kutoa. ila nisikukatishe tamaa, keep up utapata mbona tupo wengi
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.
-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

Good Job mie nina qualification zote hapo juu but nami napenda uwe mpz wa chama cha upizani na unaye penda mabadiliko kifikra na usipende kujikweza ukipewa mtaji uweze kuendeleza, dini sio ttz mwanaume amfwati mwanamke, na uwe tayari kupimwa all body kiafya zaidi,unayejituma sio kulala na kwenda salon kuchukua maneno,uwe mshabiki wa man utd na yanga ukubali kuichukia ccm mbaka mwisho wa mapenzi yetu.
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.
-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

ikiwa upo tayari kumwa mke wangu wa nne,,,,,
 
Hahaaa Maryrose!!!! Mi sababu CV yangu humu JF SIO YA KURIDHISHA ngoja nipite kimyakimya! Ila nakuachia angalizo NEVER SETTLE FOR LESS THAN WHAT YOU DESERVE!!!!!!!
 
duh! nishakukosa sasa coz hata mm nilikuwa natafuta kama wewe ila asiwe na gari kama mm ila hela awe nazo za kubadilishia mbonga wala si za shopping aseeee
 
mimi ni msema ukweli, sina chochote sina kazi wala nini ilia ntafruhi sana kama utampata mtu mwenye hivyo vigezo ila mimi ntakuwa msaidizi wake kwani najua mtu mwenye fedha nyingi na gari zuri basi hata kwenye faragha hatokuwa mzuri kutokana na kuwa bize ila mimi ni mtaalam wakuzama chumvini kwa masaa 6 bila kupumzika ni ntakuwa available anytime kama utanihitaji mimi ni hayo tu hao wanao kejeli waache hawajui maana

leo ndo leo
 
inasadia asipauke, kulainisha ngozi isi isichanwe na upepo wa kiangazi.

Ujue mie nimekulia Singida, wakati wa kiangazi kama huna vaseline, unachanika hadi utumbo.

tobaa! ndo itasaidia nini Kongosho! hahahah
 
Last edited by a moderator:
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.
-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

Nenda huko! we mwenyewe gari unalo!?
 
Back
Top Bottom