Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

Condom ya nini kama vipi tutaenda kucheki kwanza afya kabla ya mambo flani. au unaogopa bibie??!!
 
Kwa hivyo vigezo,nakushauri utafute mchoraji/artist mzuuuuri akuchoree mwanaume mwenye sifa hizo ndo awe mpenzio,au ulegeze masharti. Otherwise u will wait in vain
 
Du.
Wewe una nin cha ziada! Hata uzur wako utakuwa wa mkorogo

Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
-Awe na nyumba ya gorofa
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

kama k yako ina njia mbili moja ikilowa naweka dushelele kwenye nyingine kama unamoja kama wenzako kafie mbele
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
-Awe na nyumba ya gorofa
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.
Mbona hujaweka sifa zako
 
:smile-big: Utakaa sana, Kwa taarifa yako sisi ndio tunaotongozwa siku hizi, Mimi binafsi nimemkataa mama mmoja mwenye hela ndefu sana, kwani Umri ulikuwa umekimbia kidogo, na alikuwa tayari kunihonga chochote nilichokuwa nataka, alikuwa na Magari ya Bei mbaya kuliko Mimi lakini nilimkataa. Sasa wewe uko dunia ipi?
 
Back
Top Bottom