Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

kamtengeneze mwenyewe mwenye sifa hizo, coz hata Mungu hawezi/hatakubali kukuumbia
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
-Awe na nyumba ya gorofa
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

Wewe una nusu ya hivyo vyote?
 
Mimi sina hivyo vitu vya dhamani, ila moyo wangu unakupenda kwa dhati, UTANIFIKIRIA AU UTATAKA WENYE PESA? Lol
 
Ninazo sifa zote unazoztaka ila sijakupenda kutoka moyon,nataka nikugo..e sana tu,kisha nikupge chini.Au unasemaje bibie!
Teh..teeh..teeheh!
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
-Awe na nyumba ya gorofa
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

sina hata kigezo kimoja lakini naomba maombi yangu haya uyatilie maanani kama ninavyojieleza hapa chini;
1. kwa kuwa naendelea kuishi natagemea kufika miaka 30+
2. kwa kuwa naendelea kukua nategemea nitakuwa tall
3. kwa kuwa naendelea na masomo nitakuwa intelligent na open minded
4. kwa kuwa gym zipo kibao nitafanya mazoezi na kuwa muscular
5. kwa kuwa ninaparangana na maisha iko siku nitamiliki gari na nyumba na fedha za kutosha tu tutazitumbua bila huruma
6. kwa kuwa sina mpango wa kuzaa na wewe nitatumia kinga
7. baada ya kuona nyumba yetu ni ndogo na outdated nitajenga ghorofa na kukumilikisha.
hivyo naomba uni-konside katika seleksheni yako
 
yaani wewe sijui nikuweke kwenye kundi gani anyway wewe inabidi kujichunguza kwanza kama hizi sifa ndio unaziona zina faa kwetu kule usukumani mwanamke anweza tolewa mahari zaidi ya ng'ombe 60 lakini moto/mateso atakayoyapata atajuta kuolewa sijui wewe umejipaje hapo au na wewe ndio wale wanawake wanaoa kabla ya kuolewa?
 
title imejieleza,
vigezo na masharti vizingatiwe:
-awe kuanzia mid 30 lkn serengeti boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-awe tall
-awe intelligent and open minded
-awe mascular
-asiwe diabetic
-awe na gari zuri
-awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-awe tayari kutumia kinga siku zote
-awe na nyumba ya gorofa
unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa pm zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-mbas pia wana-equal chances in the selection
leteni kejeli zenu sasa,can't wait.
ghorofa nagpi hujasema!
 
NAWEWE UWE TAYARI kuvurugwa vODA na tIgo kwa yeye pamoja na rafiki zake.
 
we ni mtamu sana hadi udemand vyote hivyo? kama ni kweli mi ninavyo ispokuwa ghorofa lina mkopo. MBA fresh. first Eng. FOE by that time.
 
we ni mtamu sana hadi udemand vyote hivyo? kama ni kweli mi ninavyo ispokuwa ghorofa lina mkopo. MBA fresh. first Eng. FOE by that time. PM.
 
Back
Top Bottom