Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Remmy wallah umebadilisha avatar nikabaki najiuliza maswali kuliko majibu! kwanza nitumie number yako ya m-pesa nikutumie madoller! lol!

Kwanini umejiuliza maswali mwaego?
Umejuaje Kama ATM haiomi mpaka sasa?
Nakupm nami nikale japo mihogo hapo nje.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini umejiuliza maswali mwaego?
Umejuaje Kama ATM haiomi mpaka sasa?
Nakupm nami nikale japo mihogo hapo nje.
nitakutumiaje sasa kwa kunipigia kura? lol, hivi rushwa ni kosa la jinai au ni shukrani tu?
 
Babu Asprin kweli wewe balaa
mwanangu anaendelea vyema ila bado hajaacha utundu aise
Leo nani kakuudhi hapa
Kuna mmbea anataka kunivunjia ndoa yangu asee...

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
heheheiya nakujaje thatha hubby! uwiiiii nita-enjoyje sasa?? kwanza nani kakuudhi?? tema nimchape! kama ni mwana dada adhabu yake atuangalie wakti tunakaguana! kama ni mkaka nipe nimshughulikie! lol mwahhhhh hubby!
Kama ni mwanadada tumloge anenepeane kama kitimoto, wanaume wamkimbie afe na mihemko ya ngono.

Donna-Simpson_spl__1369318a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom