Mimi nyau

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Jamaa kaenda kuiba ktk nyumba moja wakati anaiba wenye nyumba wakasikia kama kelele za vitu kujigonga...mwenye nyumba akauliza 'nani'? Jamaa kwa sauti ya kumuiga paka akajibu 'nyaauu' ....wakajua ah kumbe paka jamaa alipofika skan akamwadisia mchizi wake...mchizi wake akashangaa sana akasema na yy ikifika nite na yeye lazima aende...kweli nite kali jamaa akaibuka...kama kawaida mwenyenyumba akahisi kama kelele akauliza 'nani'? Jamaa kwa sauti ya paka akajibu 'mimi nyau wa pili'....mzee akauliza tena kwa msisitizo 'nani'? Jamaa nae kwa msisitizo 'mimi nyau wa pili'.....kilichofuata mh...
 
kilichofuata mh tumsubiri mwy nyumba atuhadithie kilicho endelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom