Ili uhalalishe kukulana. Ndugu,jamaa na wazazi wawe wanajua kuwa unaliwa na jamaa fulani.Hata mie naolewa 2021
Yeah manIli uhalalishe kukulana. Ndugu,jamaa na wazazi wawe wanajua kuwa unaliwa na jamaa fulani.
Haha....nimekusoma MkuuGood luck, you'll need it.
Hiyo ni good determination nimeipenda.Wakuu mimi nategemea kuoa mwakani 2021' nitafurahi sana kama wana jukwaa wa JF mtakuwa moja ya watu mtakaofanikisha ndoa yangu (Serious issue)
nipo single nitafurahi pia hata nikimpata mwenza hapa hapa au kupitia hapa' ila hata nikikosa hapa kwa juhudi zangu nitatafuta 2021 mapema saana Mungu akijaalia kuwa hai na kunipatia mke nitaoa (lengo langu 2021)
NB: kwa msichana mwenye lengo na utayari wa kuolewa pia naomba tu share ideas (huwezi jua Mungu kapanga nini mbele yangu/yako)
Ha haaaaaaa, uhuru upo hata katika ndoa ni maelewano tu
Haha aaah haaaSamahani kwa kuleta siasa hapa, lakini ndiko tulikofikia now
Kwani wewe ni ccm?
Mimi huwa sitoa mchango wangu pande hizo.
Sawa mkuu Mimi nitakuwahHiyo ni good determination nimeipenda.
Just jana niko home hapa tuu kuna kitu kilitokea na kuna kitu nilifanya nikaona natakiwa kuoa by either 2022 or 2023.
Safi saana, all the bestHata mie naolewa 2021
AmenMafanikio mema mkuu, umpate mwenza wa maisha yako.
I wish u all the bestUnaowa au unafunga harusi?
Niko Dar nipe taarifa nije nipige cha mtumeSawa mkuu Mimi nitakuwah
Nshaona comment yako ktk huu uzi nasubiri ya Extrovert, @cemsazar na Nafaka sijui nani yule hahaaaaHata mie naolewa 2021
Insha aalahNiko Dar nipe taarifa nije nipige cha mtume
Hapo ni makubaliano na nitakayempata2021 mwezi gani nione jinsi ya kuslide PM