Mimi ningekuwa G55 maamuzi ambayo ningefanya ni haya ili kuhakikisha haki na ustawi wa Chadema na nchi unapatikana.

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,733
Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache .

Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi.

Ahsante
 
Huu ndo ushauri mzuri kwa haya mapandikizi.

Warudishe tu hela za Abdul maana atawadai kweli.

Hakuna watakalofanya kuwaondoa Wananchi walio serious kuibadilisha hii nchi kwenye agenda ya No Reform No Election.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom