Wa kwangu hana hata asilimia 10% ya hivyo.. imenibidi nivipunguze vibali viwili tu..kuheshimiana na amani hivyo kwa sasa mambo powa na mbele kwa mbele..
Ukisubiri mwenye vigezo kama hivyo ujue atakuja na Mola siku ile ya mwisho wakati parapanda italia..,
Na lugha iliyotumika ndiyo maana nikasema napenda i wish ingekuwa hivyo lakini maranyingi ni vigumu kukuta mwenye hivyo vingine hapo mnaweza mka adopt inawezekana!Wa kwangu hana hata asilimia 10% ya hivyo.. imenibidi nivipunguze vibali viwili tu..kuheshimiana na amani hivyo kwa sasa mambo powa na mbele kwa mbele..
Ukisubiri mwenye vigezo kama hivyo ujue atakuja na Mola siku ile ya mwisho wakati parapanda italia..,
si wao tu hata wasichana(mm) ukiwa unanifata kabla cjakukubali nakukagua kila sehemu hadi ukucha na ukiona nimekukubali ujue nilishakuchunguza hadi unywele wa mwisho,vidole vya mikono,kucha,mpangilio wa meno,miguu yako,na zen jasho mwilini,usafi,harufu mdomoni,ni bora nikukis kabla hata hujawa na mm kuliko nije kukukuta unanuka mdomo loh! i cant handle that aisee loh!,yani nitafanya mbinu hadi niuone ukucha wa mwisho wa mguu wako hata kama ni mm kukulazimisha tukaogelee hata ukisema cwez nakuambia nitakufundisha mradi tu nikuone loh! mwili wote ulivo............ na pia wakati wa kula nakuaangalia mana kuna watu wanakula mpaka wanamchefua yule wa pembeni si maanishi anakula sana no naanisha jinsi anavoweka chakula mdomoni mara anaongea loh! yani i mean table manner.........yani utajibeba ukikosa kigezo hata kimoja tu nishakutema mana nataka kila idara ufit ili hata tukitoka na marafiki zangu waone kweli aminata we mkali umemuonea wapi huyu jamani.....xoxoxoxo.........kwakweli nilivo mm nastahili kua na mtu wa ivi tu na si vinginevo.........utukufu na sifa na mpa bwana mana anastahili yy peke yake kushukuriwa tu.......an thanx god i have onewanaume bwana,kwahiyo kabla haujamtokea unakuwa umeshafanya research?
vigezo vyote ninavo kasoro cha umri cjafika bado 25,na pia kuhusu rangi mi mweupe sana natural sasa ww umesema mweupe kidogo loh!
na kuhusu mpz wangu nashukuru anavyo vyote ninavovipenda mnoooo ila cha zaidi ambacho nimekipenda kuliko vyote the way anavonidekeza,na kunisikiliza,na kila kitu kunipa 1 priority kila sehemu (ladies first), anajua mapenz sana yani mnooooo kupitiliza,mrefu,mpole ila charming mnoooo..............msafi mnoooo kupitiliza,,na anajua kusoma women signs kua sasa aminata anataka nn na nimpe nn saivi afurai......he is more than a friend to me....napenda ambavo hawi tu kama mpz kwangu but zaidi ya rafiki an because of that i can tell him anything i want at any time,nashukuru mungu kwa hilo an that wat is killing me.
si wao tu hata wasichana(mm) ukiwa unanifata kabla cjakukubali nakukagua kila sehemu hadi ukucha na ukiona nimekukubali ujue nilishakuchunguza hadi unywele wa mwisho,vidole vya mikono,kucha,mpangilio wa meno,miguu yako,na zen jasho mwilini,usafi,harufu mdomoni,ni bora nikukis kabla hata hujawa na mm kuliko nije kukukuta unanuka mdomo loh! i cant handle that aisee loh!,yani nitafanya mbinu hadi niuone ukucha wa mwisho wa mguu wako hata kama ni mm kukulazimisha tukaogelee hata ukisema cwez nakuambia nitakufundisha mradi tu nikuone loh! mwili wote ulivo............ na pia wakati wa kula nakuaangalia mana kuna watu wanakula mpaka wanamchefua yule wa pembeni si maanishi anakula sana no naanisha jinsi anavoweka chakula mdomoni mara anaongea loh! yani i mean table manner.........yani utajibeba ukikosa kigezo hata kimoja tu nishakutema mana nataka kila idara ufit ili hata tukitoka na marafiki zangu waone kweli aminata we mkali umemuonea wapi huyu jamani.....xoxoxoxo.........kwakweli nilivo mm nastahili kua na mtu wa ivi tu na si vinginevo.........utukufu na sifa na mpa bwana mana anastahili yy peke yake kushukuriwa tu.......an thanx god i have one
wanaume bwana,kwahiyo kabla haujamtokea unakuwa umeshafanya research?
ooooooooh, haya wanaume semeni fasta fasta tutume maombi.
ww mume si unae? small house kigezo ni kimoja tu, bank statement ya miezi 3 (anawe
mkwe umefikaje huku? yule small house nataka nimpige chini. nenda chit chat uone mambo aliyofanya kwa russian.
Kheeeee kumbe eeeh
mkwe umefikaje huku? yule small house nataka nimpige chini. nenda chit chat uone mambo aliyofanya kwa russian.