Mimi ninapenda hiwe hivi je wewe tupo same boat?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mimi napenda mwanamke awe na sifa hizi:-
  • Kwanza awe natural!hata akiongezea makeup siyo mbaya kwa mbali lakini siyo kujikoboa!!Mpaka moyo unauona na mishipa No way!!!
  • Mweusi kido mweupe kidogo!
  • Urefu akisimama afikie kwenye usawa wa chini kido ya bega langu!
  • Awe mnene wakawaida asizidi uzito wa 40-50,ambaye naweza kumnyanyua kwani mimi ni nimtu wa lifting (gym)
  • Awenimtu wakumshahuri mwenzie anapokosea kabla ya kuanza kukasirika.
  • Awe nimtu wakumsikiliza mwenziye pale anapoambiwa jambo!
  • Aweni mtu wakusocializ 
  • Asiwe mlevi ila mnyaji.
  • Awe Outing sehemu zilizotulia hata kama nibei mbaya lakini unakutana na watu tofauti una gain something.
  • Napenda kuendeshwa kwenye gari!!
  • Awe mdekaji na anayejua kubembeleza kwani na mimi napenda kudekezwa!
  • Akikwazika asikae nacho moyoni aniambie direct
  • Napenda deep tonguekiss's!
  • Awe na lip ndogo siyo makubwa no!
  • Akiwa na dread napenda lakini weaving its ok to me!
  • Urembo wa kucha nikitu muhimu kwangu!
  • Napenda hasa akivaa viatu vinavyo onyesha kucha zake i like it
  • Hand bag lisiwe likuuuubwa!
  • Awe anajua kuvaa kwenda na wakati! stylish gal
  • I hate sharing even is caring!
  • Napenda kutukuzwa kwa watu this is my boy friend!!na kunikiss in publicly!
  • Awe na mguu mdogo namba 4.5-5
  • Umri asiwe mkubwa sana lakini hupendelea hasa hawe ananzia 25-40 kwani anakuwa anajua nini anatakiwa kufanya!
Ndivyo nilivyo mimi je wewe??nikipi hapa unakizimia katika maisha yako na mpenzi wako?nwanawake sema unachotaka mpenzi wako awe wa aina gani??
 
kakakiiza vigezo vyako ni vizuri,naamini umeweza kukeep standards kwa hiyo mpenzi wako ana meet hapo,hapo kwenye kudeka naamini kabisa kuwa unajua kudekeza,mimi siyo He kwa hiyo sisemi kama tuko same boat
 
unaweza kusema napenda .msichana wa hivi....
ukakutana wa tofauti na vigezo vyako na still 'ukampenda'
mapenzi ni upofu, na ndo maana kupenda inaitwa 'ku fall'
na sio kuamua......watu huwa 'tunaanguka' kwenye mapenzi...
 
Wa kwangu hana hata asilimia 10% ya hivyo.. imenibidi nivipunguze vibali viwili tu..kuheshimiana na amani hivyo kwa sasa mambo powa na mbele kwa mbele..

Ukisubiri mwenye vigezo kama hivyo ujue atakuja na Mola siku ile ya mwisho wakati parapanda italia..,
 
wanaume bwana,kwahiyo kabla haujamtokea unakuwa umeshafanya research?
 
hahaha kweli Tulizo umenifurahisha sana,atakuja na mola siku ya parapanda lol
 
Wa kwangu hana hata asilimia 10% ya hivyo.. imenibidi nivipunguze vibali viwili tu..kuheshimiana na amani hivyo kwa sasa mambo powa na mbele kwa mbele..

Ukisubiri mwenye vigezo kama hivyo ujue atakuja na Mola siku ile ya mwisho wakati parapanda italia..,
Na lugha iliyotumika ndiyo maana nikasema napenda i wish ingekuwa hivyo lakini maranyingi ni vigumu kukuta mwenye hivyo vingine hapo mnaweza mka adopt inawezekana!
 
vigezo vyote ninavo kasoro cha umri cjafika bado 25,na pia kuhusu rangi mi mweupe sana natural sasa ww umesema mweupe kidogo loh!
na kuhusu mpz wangu nashukuru anavyo vyote ninavovipenda mnoooo ila cha zaidi ambacho nimekipenda kuliko vyote the way anavonidekeza,na kunisikiliza,na kila kitu kunipa 1 priority kila sehemu (ladies first), anajua mapenz sana yani mnooooo kupitiliza,mrefu,mpole ila charming mnoooo..............msafi mnoooo kupitiliza,,na anajua kusoma women signs kua sasa aminata anataka nn na nimpe nn saivi afurai......he is more than a friend to me....napenda ambavo hawi tu kama mpz kwangu but zaidi ya rafiki an because of that i can tell him anything i want at any time,nashukuru mungu kwa hilo an that wat is killing me.
 
wanaume bwana,kwahiyo kabla haujamtokea unakuwa umeshafanya research?
si wao tu hata wasichana(mm) ukiwa unanifata kabla cjakukubali nakukagua kila sehemu hadi ukucha na ukiona nimekukubali ujue nilishakuchunguza hadi unywele wa mwisho,vidole vya mikono,kucha,mpangilio wa meno,miguu yako,na zen jasho mwilini,usafi,harufu mdomoni,ni bora nikukis kabla hata hujawa na mm kuliko nije kukukuta unanuka mdomo loh! i cant handle that aisee loh!,yani nitafanya mbinu hadi niuone ukucha wa mwisho wa mguu wako hata kama ni mm kukulazimisha tukaogelee hata ukisema cwez nakuambia nitakufundisha mradi tu nikuone loh! mwili wote ulivo............ na pia wakati wa kula nakuaangalia mana kuna watu wanakula mpaka wanamchefua yule wa pembeni si maanishi anakula sana no naanisha jinsi anavoweka chakula mdomoni mara anaongea loh! yani i mean table manner.........yani utajibeba ukikosa kigezo hata kimoja tu nishakutema mana nataka kila idara ufit ili hata tukitoka na marafiki zangu waone kweli aminata we mkali umemuonea wapi huyu jamani.....xoxoxoxo.........kwakweli nilivo mm nastahili kua na mtu wa ivi tu na si vinginevo.........utukufu na sifa na mpa bwana mana anastahili yy peke yake kushukuriwa tu.......an thanx god i have one
 
Naona umeamua kusanua file la mwenza kabisa!!!
 
sifa zoooote zitatajwa humu, binafsi njua ni moja tu ndo breki ya wanawake, mademu na wasichana wote...FEDHA, aka PESA. MSHIKO. Kigezo/sifa hii pekee hakuna mwanamke anayeweza kuikataa hata ikisimama peke yake na ina uwezo wa kukufanya 'ufyagie' wanawake wote Tanzania hii kasoro ndugu zako tu!
 
ukimpenda mtu hata kama ananuka mdomo utaona ni marashi......mie napenda mwanaume msikkivu, mtulivu, anaejua kunienzi kwa mapenzi motomoto, vya ziada huwa havikosekani
 
atakua anatembea na futikamba na mzani kwenye kabegi,kama fundi muashi. afu akimaliza kumpima na mdada nae anatoa futi kamba na mzani na porn movie anaanza kufanya measuremnts. kazi kweli kweli!
wanaume bwana,kwahiyo kabla haujamtokea unakuwa umeshafanya research?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom