Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
Mkuu punguza speed,kazaa mtoto wa kwanza naona hujamlembea ukampa mimba tena,hapo kwenye kumsomesha sikishauriNdugu na Jamaa mie kiukweli kabisa nilioa huyo binti. Maisha na mapenzi mubashara sana. Ndoa ina heshima sana. Full respect in all direction. Na tumeshazaa watoto wawili. Mtoto mkubwa atafikisha miaka mitatu ikifika February, mdogo atafikisha miaka miwili ikifika March, 2019. Next year July nawabeba wote waje kuungana na Mimi nikiwa China kimasomo ya PhD. Na nina mpango nikirudi TZ baada ya shule kuisha nitampeleka mkewangu shule awe na elimu ya form 4 kisha tutaangalia mipango mingine. Asanteni mlionishauri nioe. Naona sijakosea kabisa.
Mkuu mwanamke kwanza kazi yake ni kuangalia watoto nyumbani na kumtunza mumewe hakuna kumpeleka shule muhimu anajua baya na zuri hiyo inamtosha.tulia baadae umfungulie mradi wake wakumuweka busy maisha yaendelee.Ndugu na Jamaa mie kiukweli kabisa nilioa huyo binti. Maisha na mapenzi mubashara sana. Ndoa ina heshima sana. Full respect in all direction. Na tumeshazaa watoto wawili. Mtoto mkubwa atafikisha miaka mitatu ikifika February, mdogo atafikisha miaka miwili ikifika March, 2019. Next year July nawabeba wote waje kuungana na Mimi nikiwa China kimasomo ya PhD. Na nina mpango nikirudi TZ baada ya shule kuisha nitampeleka mkewangu shule awe na elimu ya form 4 kisha tutaangalia mipango mingine. Asanteni mlionishauri nioe. Naona sijakosea kabisa.
Mkuu mwanamke kwanza kazi yake ni kuangalia watoto nyumbani na kumtunza mumewe hakuna kumpeleka shule muhimu anajua baya na zuri hiyo inamtosha.tulia baadae umfungulie mradi wake wakumuweka busy maisha yaendelee.
Kuowa mwanamke asiyesoma sana kuna raha sana hasa ukute anajitambua,hii dunia utajiona kama wewe ndo mwanaume kushinda wote.
Mkuu punguza speed,kazaa mtoto wa kwanza naona hujamlembea ukampa mimba tena,hapo kwenye kumsomesha sikishauri
Unaoa elimu au mke?? Jiandae kumwacha sio muda mrefu, mapenzi hayahusiani na MA yakoJamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.
Nawasilisha.
Kwani unaoa elimu?Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.
Nawasilisha.