Mimi nilifikiri huyu ni mtu wa kuchonga!!

Mimi nilifikiri huyu ni mtu wa kuchonga!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
flavianamatata.jpg
 
mmmmhhh ninahoamini ni kwamba at the end wote tunaishia pale pale tuuuu
 
Kazi zingine bwana, hivi inakuaje Dingi anapoona mwanaye ktk hali kama hii?
 
Kazi zingine bwana, hivi inakuaje Dingi anapoona mwanaye ktk hali kama hii?

Kama mzazi anayemjua Mungu lazima itamuuma sana lakini kama hamjui Mungu ataona yote sawa; tena atajifariji kwamba wapo wazazi waliozaa mashoga sembuse yeye!
 
Hapo ukampiga Mbuzi kagoma kwenda hadi uti wa mgongo utashtuka
 
hapo cjui ni kudumisha utamaduni au anamfurahisha nani!je hao viongoz wanaotaka upge picha za hvyo wana lengo na nia gani?mbna kujidhalilisha hakupungui jaman!ka mjusi bwna.
 
Back
Top Bottom