Mimi nilifikiri huyu ni mtu wa kuchonga!!

Mimi nilifikiri huyu ni mtu wa kuchonga!!

pesa jamani pesa,utafanya mengi kwa ajili ya pesa
 
Beatiful, ni wa siku nyingi sana yuko USA kama sikosei. alikuwa anatoka kwenye magazeti ya EBONY enzi hizo though sijui kama yapo bado.
 
LMFAO 🙂 Pesa hiyo. But anang'aa kiafrika.
 
Back
Top Bottom