Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
MIMI : Nikuulize jambo, askofu?
ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba
😀.
MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani
aliyemdanganya Mtu pale
bustanini?
ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya
mwanadamu. Mungu
alimwambia mwanadamu kuwa
akila atakufa. Ila nyoka
akamdanganya kwamba akila
atafanana na Mungu.
MIMI: Mbona unaanza tena
kunidanganya, baba askofu! Ndo
imeandikwa hivyo kwamba
atafanana na Mungu?
ASKOFU: We kijana vipi? Hujui ndo
imeandikwa hivyo? Imeandikwa
kuwa akila atafanana na
Mungu.
MIMI: Hebu Nisomee hilo fungu
tuonehilo fungu tuone.
ASKOFU: biblia katika Mwanzo 3:4
Inasema "Nyoka akamwambia
mwanamke, Hakika hamtakufa,
Mwanzo 3:5
kwa maana Mungu anajua ya
kwamba siku mtakayokula
matunda ya mti huo,
mtafumbuliwa macho, nanyi
MTAKUWA KAMA MUNGU,
mkiju mema na mabaya.
MIMI : Mbona sijaona palipoandikwa
kuwa watafanana na Mungu?
ASKOFU: Ndio, hapapo. Ila kuwa kama
Mungu ndo tulifundishwa tuwe
tunaitafsiri kama kufanana na
Mungu.
MIMI: Kwani Mwanzo 1:26 si inaonesha
kuwa Mungu alikuwa na agenda ya
kumuumba mtu kwa mfano wao?
Mbona hapa nyoka anasema
watakuwa kama Mungu? Ina
maana Hawakuumbwa kwa mfano
wake?
ASKOFU: Hapo sasa ndo utaanza kuona
uongo wa nyoka hehehee. Yaani
hapa bila macho ya kiroho
huwezi kuelewa. Ila tayari roho
ameanza kukuelekeza kwenye
ukweli. Nyoka ni Muongo maana
tayari Mwanadamu alikuwa
ameshaumbwa kwa Mfano wa
Mungu. Kwa hiyo kwa kula tunda
asingeweza kuwa kama Mungu.
MIMI: Kwa hiyo nyoka alidanganya kwa
kumwambia Mtu kuwa Atakuwa
kama Mungu akijuwa mema Na
mabaya?
ASKOFU: Haswaaa.. Nyoka ni Muongo na
alidanganya. Mwanzo 3:5
[5]kwa maana Mungu anajua ya
kwamba siku mtakayokula
matunda ya mti huo,
mtafumbuliwa macho, nanyi
MTAKUWA KAMA MUNGU
MKIJUWA MEMA NA MABAYA.
MIMI: Hebu nisomee Mwanzo 3:22.
ASKOFU: Haya sawa, hehehehee.
Mwanzo 3:22 NENO LA BABA
YETU LINASEMAH,
MIMI: LINASEMA NINI?
ASKOFU: [22]BWANA Mungu akasema,
Basi, huyu mtu ANEKUWA
KAMA MMOJA WETU, AKIJUWA
MEMA NA MABAYA; na sasa
asije
akanyosha mkono wake
akatwaa matunda ya mti wa
uzima, akala, akaishi milele;
MIMI : Mbona Mungu hapa
anakiri usahihi wa Kauli ya
shetani
kwa kuonesha kabisa kuwa ni
kweli mtu angekuwa kama
Mungu pindi akila tunda la
Mema na Mabaya?
ASKOFU: Hakuna kitu hapo, Wewe ndo
huelewi kabisa na tena Omba
sana Roho akufunulie uweze
kulijuwa neno la Baba yetu. Ni
kweli walikuwa kama Mungu
kwa kujuwa mema na mabaya,
ila sio kufanana naye
kimuonekano.
MIMI : Kwani shetani alisema kuwa
mwanadamu akila tunda
atakuwa kama Mungu kwa
kufanana naye kimuonekano.
ASKOFU: Hujanielewa... Halafu tatizo lako
huna roho ndio maana shetani
anakufanya uwaze mambo ya
kijinga mda wote. Hii sehemu ni
ngumu, kijana. Kuielewa ni hadi
uwe umesoma tioloji kwenye
vyuo vyetu.
MIMI : Basi hilo swali gumu. Niulize,
Mwanadamu aliumbwa kwa
mfano wa Mungu?
ASKOFU: Ndio. Mwanadamu aliumbwa
kwa mfano wa Mungu kabisa
na hilo liko wazi, ama
nikufungulie vitabu?
MIMI: Tutavifungua tu usijali. Je
alikuwa anajuwa mema na
mabaya?
ASKOFU: Alikuwa anajuwa mema tu ila
hajui mabaya.
MIMI: Mbona Mungu anakiri
mwenyewe katika Mwanzo 3:22,
baada ya yeye kula tunda kuwa "
Sasa amejuwa mema na
mabaya?" Huoni kuwa
mwanadamu bado alikuwa hajui
mema na mabaya?
ASKOFU: Yeah, nilikuwa nimesahau.
Nisamehe kwa hilo.
Ukisoma kwa umakini unaona
kabisa kuwa mwanadamu
alikuwa hajui mema na mabaya
maana yalikuwa yamefungwa
kwenye mti wa ujuzi wa mema
na mabaya.
MIMI: Sasa kama bado alikuwa hana
ujuzi wa mema na mabaya.
Aliwezaje kutambua kama Mungu
anachomuelekeza ni chema. Ama
nyoka anachomuelekeza ni
Kibaya na hila?
ASKOFU: Hapa ni wazi kuwa unaanza
sasa kukufuru. Kwa hiyo,
unataka kuniambia kuwa Mungu
alimuonea Mwanadamu,
kwasababu tu
alimpa
maagizo wakati ambapo
mwanadamu hakuwa
na utambuzi wa lipi jema ama
lipi baya? Si ndo hivo?
MIMI: Ndio. Nina mwanangu ana miezi
mitano sasa bado hajawa na.
utambuzi wa lipi jema na lipi
baya. Iwapo nitamuwekea chupa
ya chai mbele halafu nimpe
maelekezo kuwa asiishike hiyo
chupa maana akifanya hivyo,
itapasuka na ataungua. Je,
ataelewa kuwa maagizo
niliyompa ni
mema?
ASKOFU: Hapana. Bado hajapata
utambuzi. Itabidi umlinde sana
na sio kumpa majaribu. Lakini
adamu alikuwa
mtu mzima hata kama hakuwa
na utambuzi.
MIMI: Kwa hiyo hakupaswa kupewa
ulinzi kamili na kuepushwa na
majaribu kama unavyonishauri
nifanye kwa mwanangu?
ASKOFU: Tunakoelekea sasa tutakufuru
kijana. Staki uje upate matatizo
kabisa. Utapigwa mapigo
mabaya na Mungu kama
Waliyoyapata wamisri.
MIMI: Sasa mbona badala ya kunijibu
unaanza kunitisha? Kwani huoni
kuwa Mungu wako aliadhibu
watu wazima kwa makosa
waliyoyafanya wakati ambapo
walikuwa bado wachanga?
ASKOFU: Sawa walikuwa wachanga. Na
waliadhibiwa kwa kuonewa. Ila
hayo mambo hayamfanyi
Mungu wetu kuwa muonevu.
Mungu wetu ana huruma, ana
upendo, na msamaha.
Jinyenyekeze mbele zake la
sivyo Siku ya Mwisho
utaadhibiwa.
MIMI: Kwa hiyo hayo uliyayaona na
uliyoyataja, ni upendo ama
udhibiti?
Yaani ninakuambia kuwa nina
huruma msamaha, upendo na
silazimishi. Ila usiponifuata
nitakuangamiza? Huoni huo ni
udhibiti na sio uhuru?
ASKOFU: Unatafuta uhuru kwa Mungu, si
ndo hivyo? Acha Niwapigie
polisi waje kukupa uhuru kijana.
MIMI: 👇👇👇👇
ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba
😀.
MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani
aliyemdanganya Mtu pale
bustanini?
ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya
mwanadamu. Mungu
alimwambia mwanadamu kuwa
akila atakufa. Ila nyoka
akamdanganya kwamba akila
atafanana na Mungu.
MIMI: Mbona unaanza tena
kunidanganya, baba askofu! Ndo
imeandikwa hivyo kwamba
atafanana na Mungu?
ASKOFU: We kijana vipi? Hujui ndo
imeandikwa hivyo? Imeandikwa
kuwa akila atafanana na
Mungu.
MIMI: Hebu Nisomee hilo fungu
tuonehilo fungu tuone.
ASKOFU: biblia katika Mwanzo 3:4
Inasema "Nyoka akamwambia
mwanamke, Hakika hamtakufa,
Mwanzo 3:5
kwa maana Mungu anajua ya
kwamba siku mtakayokula
matunda ya mti huo,
mtafumbuliwa macho, nanyi
MTAKUWA KAMA MUNGU,
mkiju mema na mabaya.
MIMI : Mbona sijaona palipoandikwa
kuwa watafanana na Mungu?
ASKOFU: Ndio, hapapo. Ila kuwa kama
Mungu ndo tulifundishwa tuwe
tunaitafsiri kama kufanana na
Mungu.
MIMI: Kwani Mwanzo 1:26 si inaonesha
kuwa Mungu alikuwa na agenda ya
kumuumba mtu kwa mfano wao?
Mbona hapa nyoka anasema
watakuwa kama Mungu? Ina
maana Hawakuumbwa kwa mfano
wake?
ASKOFU: Hapo sasa ndo utaanza kuona
uongo wa nyoka hehehee. Yaani
hapa bila macho ya kiroho
huwezi kuelewa. Ila tayari roho
ameanza kukuelekeza kwenye
ukweli. Nyoka ni Muongo maana
tayari Mwanadamu alikuwa
ameshaumbwa kwa Mfano wa
Mungu. Kwa hiyo kwa kula tunda
asingeweza kuwa kama Mungu.
MIMI: Kwa hiyo nyoka alidanganya kwa
kumwambia Mtu kuwa Atakuwa
kama Mungu akijuwa mema Na
mabaya?
ASKOFU: Haswaaa.. Nyoka ni Muongo na
alidanganya. Mwanzo 3:5
[5]kwa maana Mungu anajua ya
kwamba siku mtakayokula
matunda ya mti huo,
mtafumbuliwa macho, nanyi
MTAKUWA KAMA MUNGU
MKIJUWA MEMA NA MABAYA.
MIMI: Hebu nisomee Mwanzo 3:22.
ASKOFU: Haya sawa, hehehehee.
Mwanzo 3:22 NENO LA BABA
YETU LINASEMAH,
MIMI: LINASEMA NINI?
ASKOFU: [22]BWANA Mungu akasema,
Basi, huyu mtu ANEKUWA
KAMA MMOJA WETU, AKIJUWA
MEMA NA MABAYA; na sasa
asije
akanyosha mkono wake
akatwaa matunda ya mti wa
uzima, akala, akaishi milele;
MIMI : Mbona Mungu hapa
anakiri usahihi wa Kauli ya
shetani
kwa kuonesha kabisa kuwa ni
kweli mtu angekuwa kama
Mungu pindi akila tunda la
Mema na Mabaya?
ASKOFU: Hakuna kitu hapo, Wewe ndo
huelewi kabisa na tena Omba
sana Roho akufunulie uweze
kulijuwa neno la Baba yetu. Ni
kweli walikuwa kama Mungu
kwa kujuwa mema na mabaya,
ila sio kufanana naye
kimuonekano.
MIMI : Kwani shetani alisema kuwa
mwanadamu akila tunda
atakuwa kama Mungu kwa
kufanana naye kimuonekano.
ASKOFU: Hujanielewa... Halafu tatizo lako
huna roho ndio maana shetani
anakufanya uwaze mambo ya
kijinga mda wote. Hii sehemu ni
ngumu, kijana. Kuielewa ni hadi
uwe umesoma tioloji kwenye
vyuo vyetu.
MIMI : Basi hilo swali gumu. Niulize,
Mwanadamu aliumbwa kwa
mfano wa Mungu?
ASKOFU: Ndio. Mwanadamu aliumbwa
kwa mfano wa Mungu kabisa
na hilo liko wazi, ama
nikufungulie vitabu?
MIMI: Tutavifungua tu usijali. Je
alikuwa anajuwa mema na
mabaya?
ASKOFU: Alikuwa anajuwa mema tu ila
hajui mabaya.
MIMI: Mbona Mungu anakiri
mwenyewe katika Mwanzo 3:22,
baada ya yeye kula tunda kuwa "
Sasa amejuwa mema na
mabaya?" Huoni kuwa
mwanadamu bado alikuwa hajui
mema na mabaya?
ASKOFU: Yeah, nilikuwa nimesahau.
Nisamehe kwa hilo.
Ukisoma kwa umakini unaona
kabisa kuwa mwanadamu
alikuwa hajui mema na mabaya
maana yalikuwa yamefungwa
kwenye mti wa ujuzi wa mema
na mabaya.
MIMI: Sasa kama bado alikuwa hana
ujuzi wa mema na mabaya.
Aliwezaje kutambua kama Mungu
anachomuelekeza ni chema. Ama
nyoka anachomuelekeza ni
Kibaya na hila?
ASKOFU: Hapa ni wazi kuwa unaanza
sasa kukufuru. Kwa hiyo,
unataka kuniambia kuwa Mungu
alimuonea Mwanadamu,
kwasababu tu
alimpa
maagizo wakati ambapo
mwanadamu hakuwa
na utambuzi wa lipi jema ama
lipi baya? Si ndo hivo?
MIMI: Ndio. Nina mwanangu ana miezi
mitano sasa bado hajawa na.
utambuzi wa lipi jema na lipi
baya. Iwapo nitamuwekea chupa
ya chai mbele halafu nimpe
maelekezo kuwa asiishike hiyo
chupa maana akifanya hivyo,
itapasuka na ataungua. Je,
ataelewa kuwa maagizo
niliyompa ni
mema?
ASKOFU: Hapana. Bado hajapata
utambuzi. Itabidi umlinde sana
na sio kumpa majaribu. Lakini
adamu alikuwa
mtu mzima hata kama hakuwa
na utambuzi.
MIMI: Kwa hiyo hakupaswa kupewa
ulinzi kamili na kuepushwa na
majaribu kama unavyonishauri
nifanye kwa mwanangu?
ASKOFU: Tunakoelekea sasa tutakufuru
kijana. Staki uje upate matatizo
kabisa. Utapigwa mapigo
mabaya na Mungu kama
Waliyoyapata wamisri.
MIMI: Sasa mbona badala ya kunijibu
unaanza kunitisha? Kwani huoni
kuwa Mungu wako aliadhibu
watu wazima kwa makosa
waliyoyafanya wakati ambapo
walikuwa bado wachanga?
ASKOFU: Sawa walikuwa wachanga. Na
waliadhibiwa kwa kuonewa. Ila
hayo mambo hayamfanyi
Mungu wetu kuwa muonevu.
Mungu wetu ana huruma, ana
upendo, na msamaha.
Jinyenyekeze mbele zake la
sivyo Siku ya Mwisho
utaadhibiwa.
MIMI: Kwa hiyo hayo uliyayaona na
uliyoyataja, ni upendo ama
udhibiti?
Yaani ninakuambia kuwa nina
huruma msamaha, upendo na
silazimishi. Ila usiponifuata
nitakuangamiza? Huoni huo ni
udhibiti na sio uhuru?
ASKOFU: Unatafuta uhuru kwa Mungu, si
ndo hivyo? Acha Niwapigie
polisi waje kukupa uhuru kijana.
MIMI: 👇👇👇👇