asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Regimental Sergeant Major! wasiopitia majeshi utawajia tu!Sasa mimi ni RSM
kaka hapa unamaanisha nini? "RSM" ??
Regimental Sergeant Major! wasiopitia majeshi utawajia tu!
Dah pole sana mic......ajali kazini ila Mchepuko kweli sio dili
Mentor Usharibu tena?
Dah Pole sana. Lakini Mentor hiyo ni fursa maana unavyojua kuandika unaweza hata tunga kitabu ' based on a true story'
Si hakunaga marefu yasiyo na ncha!
Polisi na doria za ucku
Mm cjakuelewa kabixa nihadisi au unaomba ushauri.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
huwezi kushindwa afande kwani kwa drama ww ni kiboko hakuna mwanamke anyeweza mkataa mpiga kwata, (wana pumzi)Namuanzaje kwa mfano....
"We Mentor! Acha uongo! We unaaminije kuwa ni wa kwako! Huo ni uongo! Yani miaka yote hiyo mtu ana mtoto wako asikuambie! Nilimuomba Tinna tuwe tu marafiki kwa kipindi kile hadi nitakapojua mustakabali wangu na Kate, mama Nelson. maana hakuna mwanafunzi aliyekuwa akijua kuwa mimi ni askari na pia kwa kufahamu yeye alikuwa binti wa waziri, ingeweza kuniletea shida si tu shuleni, bali hata kazini.
Ni kawaida yenu polisi wote ni Malaya na kufa na ukimwi ni haki yenu