hahaa mama felixxx popote ulipo plzzz sikia kilio cha mentor...duh
Mkuu Mentor hii sisomi, maana najua haifiki mwisho. Mambo ya kuumiza nafsi kwa riwaya zisizo isha mbaya sana mkuu. Mpaka umalizie viporo vyko, hasa kisa cha mke wa waziri
Askari ndio zenu kwa kuchepuka hamjambo, maana nilikua na uncle huyo nae alikua moto chini enzi zake
hee!!! poleee, ila wanaume kuweni na uvumilivu hata kidogo.
Kasema Mama Felix.....msamehe!
Labda, labda, labda atakurudia
jitahd umwome msamaha liz atakuelewa na uache michepuko
Huu sio uandishi wa polisi wa Tanzania..
Teh teh baba Felix mtafute mkeo mrudiane
RSM ni Regimental Surgely Major. wapo ktk vyeo vya JWTZ sijui huko polisi. wanakuwa kama na lisaa mkononi. lakini ni funzo kwa ambao hatujaoa na walio ktk ndoa
Pole sana kwa yaliokukuta,hii itakuwa ni fundisho kwa wale wenye michepuko.Hakuna siri katika mapenzi neno hili likikukaa akilini sawasawa utagundua kuwa michepuko sio dili na kama unabisha endelea nayo ila jua kuwa yatakukuta yaliomkuta afande,mimba zisizotarajiwa,ugomvi na familia yako,kutelekeza familia,kupata magonjwa ya zinaa,kuuwawa nk.nk.
Kasema Mama Felix.....msamehe!
Ndo mchepuko wako unayenitishiaga naye!
.Akikataa natumai utanifikiria wewe, upweke unaboa.
.nkwela ntamaholo, nisamehe. Ile nilishindwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
.Hivi huu uchepukaji unaweza kweli ukautenga kwa kazi afanyayo mtu? Mi nahisi inatugusa wote.
.Ni tamaa tu CHIKITITA, maana hata wadada wapo wa hivyo! Kuna mdau hapo juu katolea mfano wa nesi.
.Cc: Madame S.
.Labda...
.Michepuko nimeacha mkuu! Msamaha ndo kanikatalia tangu miaka hiyo.
.Sijakusoma mkuu #unamaanisha???!.
.Bado sijakata tamaa...mkeo miss neddy yuko wapi anisaidie.
.Nafurahi umepata funzo mkuu! si lazima wote tupitie nilipopata mimi.
.Cc: Wote walioona hadithi yangu ni ndefu mno kuisoma.
Bcc: mabazazi Kaizer, Watu8, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Excel, Mashaxizo, Madame B, Mtambuzi, Maxence Melo, et al et al....
Wadada mkiona mnapendwa sana na wapenzi wenu jueni mnaibiwa
Mentor hahahahahhaha
bahati haiji mara mbili baba
upweke na wakati una mchepuko
Mentor alikushindwa mama felixxxx mi nitakuwezaa..???
:confused2:
.
.Then be my curse..
Khaa!! Hiki ni cheo anachopewa askari ambaye amewahi kufumaniwa. Ririzowea Sana Michepuko (RSM)Hapo chini umeandika RSM unamaanosha nini?
:confused2:
mentor.. i dont believe that coz tabia ni kama ngozii ngumu kuibadilii
we mbe hujui kubembeleza mbona ungemuambia ulienda kumkamata jambazi guest angekubali tu
Khaa!! Hiki ni cheo anachopewa askari ambaye amewahi kufumaniwa. Ririzowea Sana Michepuko (RSM)
....just kidding
Ungeufanya huo mchepuko kuwa njia rasmi
Mentor Nina salami zako
ulifanya sting operation mkuu.Kizungu ni shida?.
.Hata ngozi hubadilika mamii...tusifanyiane ubaya.
.huko ni kubembeleza au kupalia makaa? Mwizi umejifunga taulo? Mkubwa wako wa kazi ana taarifa ama ulijipanga kazi?.
.Muone kwanza, ndo maana ukaitwa Rohombaya!.
.Mkuu ni vile tu sijaandika hapa. Mchepuko wenyewe ulikuwa njia kuu ya mwingine huko mkoani kwake!.
.Zilete basi mkuu!.