Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Naona unataka kuanzisha ligi, mie sio msukuma lakini najua kisukuma ila haikuwa busara kuchangia hii thread kwa kisukuma, mie mkristo bana nakutakia amani ya Bwana wetu Yesu Kristo ipitayo amani zote, sipendi ligi mimi

Wewe unataka kulazimisha KOSA Na wakati hakuna KOSA hapo! Ebu Nenda ukatizame alivyomalizia Mentor Hiyo HADITHI ktk mention yetu ameandika neno NKWELA Muulize Hilo neno Lina Maana gani?

Alafu Mbona Watu wakiandika English hamupigi kelele? Au English yenye kwakua Ni lugha ya ngozi nyeupe basi imekua Nzuri? Ila kisukuma Kwa Kua Ni ngozi nyeusi basi hakifai? Acha hizo Mkuu! SISI hii thread tumeichangamsha!
 
Last edited by a moderator:
Naona unataka kuanzisha ligi, mie sio msukuma lakini najua kisukuma ila haikuwa busara kuchangia hii thread kwa kisukuma, mie mkristo bana nakutakia amani ya Bwana wetu Yesu Kristo ipitayo amani zote, sipendi ligi mimi

Be of good cheer!

Aaaargh nimekosea hapo kuandika Kwa ung'eng'e.

Amina Mkuu Nawe pia Kua Na Amani ya Bwana! Kwa neno la Bwana nimekuwa mpole!

One love ram Pamoja sn!
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaaa ram usichukie hivyo, hata LIKE hutoi kwenye hii comment jamani? Njoo huku utoe like kwa jamaa bwana.
Be of good cheer!

Aaaargh nimekosea hapo kuandika Kwa ung'eng'e.

Amina Mkuu Nawe pia Kua Na Amani ya Bwana! Kwa neno la Bwana nimekuwa mpole!

One love ram Pamoja sn!
 
Last edited by a moderator:
Mentor Alhamis kesho kutoa tarehe 7 si imeshapita?? Njoo huku weka uhondo!!!
 
Mentor jamani mentoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooor!
 
Last edited by a moderator:
Mentor anahasira ya mambo mengi kwa sasa. Hasira zako zisituumize wananchi mentor.
 
Mentor mkuu endelea na Hadithi maana imefikia patamu aisee..na hamu ya kujua ulimalizaje na Tina.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom