mbalu
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 550
- 243
Daniel M J mbalu Ntuzu bhasiza bhane....unkwela wing'we ade siza...e limmili lyasomasomile..alisata...vumilieni tu
Yeeeee kashi, aleyo ne pole ahane? Osebha akumpija.
Daniel M J mbalu Ntuzu bhasiza bhane....unkwela wing'we ade siza...e limmili lyasomasomile..alisata...vumilieni tu
nkwela wenu atena hela ya bando, alelindela posho (ration allowance)
Hadithi imeingiliwa na watunzu na wamwalu sasa na kuleta lugha mbadala ndo maana jamaa kasema wakifasili na kuacha ndo ataleta!! kumbuka hapo ni 2 au 3!!............................
sidhani kama hiyo ndio sababu
Bibie hata ukatae vipi nyie kwangu mimi bi wewe, Ntunzu ndo mmefanya kijana wa kibosho kugoma kuendelea......!!
Tafadhari mtumie hizo fasili anazotaka.
tafsiri ashatumiwa...via njia aliyopendekeza mwenyewe..kwa hiyo mie na kaka zangu si sababu
mwallu,
huna sababu ya kukataa, si ustaarabu hata kidogo, thread imeanzishwa na
mtu mwingine halafu nie mnaanza kupiga story za kisukuma ndani ya thrad
ya mwenzenu, hamkufanya poa, aliyepost hii thread ni mchaga ni mnaleta
story kwa kisukuma, unadhani atajisikiaje
Bibie hata ukatae vipi nyie kwangu mimi bi wewe, Ntunzu ndo mmefanya kijana wa kibosho kugoma kuendelea......!!
Tafadhari mtumie hizo fasili anazotaka.
mwallu, huna sababu ya kukataa, si ustaarabu hata kidogo, thread imeanzishwa na mtu mwingine halafu nie mnaanza kupiga story za kisukuma ndani ya thrad ya mwenzenu, hamkufanya poa, aliyepost hii thread ni mchaga ni mnaleta story kwa kisukuma, unadhani atajisikiaje
Kwanini umkoseshe raha dada Yangu kwa kumlaumu ktk HAYO wakati Mentor mwenyewe hajalalamika?
Mbona dada yako ametambua kosa kwamba watu wamekwazika na ameomba msamaha, wewe bado una shida gani Ntuzu?. Kisukuma ni lugha yenu hujafungwa na mtu anzisha thread ya kisukuma uone wasukuma kama hawatachangia thread yako, thread ya Mentor ilipostiwa kiswahili nie mkabadilisha lugha, mnadhani wasiokuwa wasukama walikuwa wanajisikiaje?
Anzisha uzi wa kisukuma hata mimi nitachangia kwa kisukuma