Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Kabla hawajamalizia kunielezea mkasa mzima ....

Itaendelea tena kesho, Alhamisi...

Mentor
hebu tupe updates maana bado tunachungulia hapa.
 
Dah.. Mentor kwa nn unatufanyia hivyo..

Au ulimaanisha alhamic ijayo?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwallu alhamisi ya huyu shemeji yetu kwetu inakuwa lya kanga (juma ngapi)? au tumbishe/atolwe ncheya (apigwe faini)
 
Last edited by a moderator:
Kabla hawajamalizia kunielezea mkasa mzima ....

Itaendelea tena kesho, Alhamisi...

Mentor
hebu tupe updates maana bado tunachungulia hapa.

Huyu Shemeji we muache tu! Dawa yake iko jikoni!

Atajaa tu kwenye target! Anatufanya SISI WACHUNGULIAJI?!!! Mentor ntakusema kwa dada?
 
Last edited by a moderator:
kwel aliyezoea vya kunyonga hawez vya kuchinja......sasa huyu afande sihaba anataka tumrushie buku2 ndo aendelee na storii.. yaani bla kupewa chochote hawezi kujitoa kwa moyo mmoja...
 
Mentor alinambia kagoma kuendelea na story, nilijua anabitania kumbe kweli¡!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom