Mimi ni Polisi: Hadi Lindi

Mimi ni Polisi: Hadi Lindi

nilijua tu laizima utaje teamrafiki sijui imekufanyia nini?
kwani hii stori umeona ni ya kuwapa teamrafiiki au?
sisi hatuwezi kujifunza tatizo la huyu hivyo usifikiri
sisi ni michepuko wa haraka haraka

Sisi niwazoefu ili umkamate unahitaji kama soldiers 10000
Hatuliilii sisi watoto wa kiume
 
Umefunuliwa pia ninaweza kuwa mchungaji?

Mie mzima...tongozo langu ulilipotezea hivihivi....

Loh!!!!! Tongozo lipi tena? Uliniambia nikutafute, mtoto wa watu wala sikuwa na hiyana nikakutafuta ukanipotezea..... kimtindo
 
Mbona khasira hivo Lady niece? Asprin njoo umchukue mtoto akacheze nje...[/QUOTE]

huyu ndugu yako simuelewi kabisa yeye kila mara lazima awaweke teamrafiki
kwenye vionjo hivi sijui kwanini wakati iko team bazazi ndo imekubuhu kwa
mambo haya

halafu mm sio mtoto naomba badilisha sentensi yako hapo juu
ni mtumzima mwenye ndevu na sharubu zimejaa tele
sasa kuniita mtoto unanishushia hazi hivi hujui kuwa mm
ni BALOZI WA TEAMRAFIKI?
 
Kwa taaarifa yako ni soldiers 50,000 nini hao ten percent
sina haja ya kumkamata ameshajikamatisha yeye mwenyewe
hivi unajua maana ya BALOZI ?

Sisi niwazoefu ili umkamate unahitaji kama soldiers 10000
Hatuliilii sisi watoto wa kiume
 
Mentor,,wewe si ulipona?Na mimi nitapona pia,acha kututisha!Hahahaaa,,umesema mke wa mtu sumu,nina panya nyumbani kwangu ngoja nitafute mmoja aje alale kwangu kama wiki hivi,tumalize kabisa tatizo la panya!
 
Last edited by a moderator:
Mentor niambie prodee, kimya....!

Mkuu kabanga, malindo yamezidi...ila nipo mkuu, salam huko!??

Story nzuri,,,,, ivi police nao ni triple w nauliza tu???

Hapana tinna cute, mi mwenyewe si unaniona siko hivyo my dia!

Loh!!!!! Tongozo lipi tena? Uliniambia nikutafute, mtoto wa watu wala sikuwa na hiyana nikakutafuta ukanipotezea..... kimtindo

Mhhhhh...naja tena!!!!!

khaaa!!!!!
kwani ndo imeisha mdogo wangu Mentor

Hiyo part ingine nimeachia imaginations zenu nazo zifanye kazi...

Kama ulikuwepo tena yeye yuko pale salamanda

Ulimaanisha "SELANDER" (kibongobongo inaitwa SALENDA)

mbona imeisha haraka?

He he he kama bao la kwanza...tuvumiliane tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor,,wewe si ulipona?Na mimi nitapona pia,acha kututisha!Hahahaaa,,umesema mke wa mtu sumu,nina panya nyumbani kwangu ngoja nitafute mmoja aje alale kwangu kama wiki hivi,tumalize kabisa tatizo la panya!

Mkuu umepotea! Longtime no see! Mishe niaajjeh?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom