Una Kipaji Simulizi kikubwa sana
Uliponea chupuchupu afande, hivi ulivyohamishwa lindi ndo ulipelekwa kahama eeh!
Teh teh nice story kwa #teamRafiki wajifundishe Tatizo lako Mentor ugonjwa wako unaitwa #Bazazi you are addicted kwenye wake za watu
Muulize Nicas Mtei au Excel mwenzio ana handle vipi
ikawaje sasa Mentor mbona umeishia patamu mnoooo
nilijua tu laizima utaje teamrafiki sijui imekufanyia nini?
kwani hii stori umeona ni ya kuwapa teamrafiiki au?
sisi hatuwezi kujifunza tatizo la huyu hivyo usifikiri
sisi ni michepuko wa haraka haraka
Unajua pa kunipata nikumalizie mwenyewe mwaya!
hahahahhaha hapa ndo kuna wachombezaji bhna
hahahahhaha hapa ndo kuna wachombezaji bhna
Kaka naona ubazazi uliuanza kitambo...
Nakumbuka kisa cha Tanga, kingine kile cha Kigamboni kwa yule dada shabiki wa Arsenal, halafu cha yule binti wa Shinyanga na leo ni Mama Sharifa :A S 13:
End part sio ya kuhadisia kila mtu...
hahahhaa haya bhana afu Mentor ndo uvivu gani kutubananisha wawili wawili kwenye quote
hahahhaa haya bhana afu Mentor ndo uvivu gani kutubananisha wawili wawili kwenye quote
......
Khaa! Mentor bado hujarekebisha haya maneno!
"Nikajiweka vizuri kwenye kiti
kusikiliza taarifa hizi. Dokta
akaendelea, "Upasuaji wa
mwisho uliofanyiwa ulituhitaji
kukuongezea damu. Kwa
bahati mbaya damu ile haikuwa imepimwa vya
kutosha kutokana na uharaka
wa hitaji lako la damu hivyo
uliwekewa damu
inayosadikiwa kuwa na virusi
vya UKIMWI. Nimekuita hapa ili tufanye vipimo zaidi
kuthibitsha hili."
Wasalaam wapendwa,
Mentor."
...
Hiyo red nikiiona or kuiskia huwa inaniharia siku!
Asante sana mkuu...matukio ya dunia hii yamenilazimu kuwa hivi!
Dada mkubwa ram, niliponea kwa kweli!
Baada ya Lindi nilienda Daslam kwanza...then Kahama...then Arusha...nitakusimulieni visa vyote hadi nilipoacha kazi!!!!
Hahahah Mashaxizo for as long as uko [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] na kina watu8, KakaKiiza, Asprin Nicas Mtei Kaizer et al, lazima hayo maneno yakutishe!!!!
Mentor unanitafuta?Sio uvivu ni utalamu!
Basi mi nitakungojea pale mahali..usikawie!!!
Hahahah Mashaxizo for as long as uko #teambazazi na kina watu8, KakaKiiza, Asprin Nicas Mtei Kaizer et al, lazima hayo maneno yakutishe!!!!