Mimi ni Polisi: Fastjet

Mimi ni Polisi: Fastjet

Mimi ni Polisi: Fastjet

30[SUP]th[/SUP] June 2014…facebook status ya rafiki yake Winnie

Vaileth Shirima (20[SUP]TH[/SUP] June 2014): "Wanaume wengine sijui wapoje! Kama huna hela kaa na masikini wenzako wasio na sura na shepu! Mwanaume huna hela unakazana kutaka kumhudumia Miss Tanzania…utaweza wapi!?? Unajifanya upo romantic unanibukia ndege za wanuka shombo mwaka kabla. Kama upo romantic nipigie simu leo niambie ‘babe nimekukatia ticket ya saa moja jioni jiandae uje Dar nina hamu na wewe!'#Kantangazeeee"

Wasalaam wapendwa,
Mentor.
Ulitakiwa upige chapati au U-turn kwa huyo friend aliyeweka hiyo stutus b'liv anavua kiulaini!
Wanawake ni watu wa ajabu sana......
 
Ukute huyo shosti hana hata wa kumlipia kweny daladala!
Ulijitajid mdogo Wangu
 
haroo afande Mentor turitafutie sababu riwinnie rirare sero hata siku mbiri riache kuchezea hera za umma
 
Last edited by a moderator:
oooh Mentor wewe na story zako daaa

ulichoma mahindi then ukachoma mishkaki

...........NON REFUNDABLE...........
 
Last edited by a moderator:
Ulitakiwa upige chapati au U-turn kwa huyo friend aliyeweka hiyo stutus b'liv anavua kiulaini!
Wanawake ni watu wa ajabu sana......

Ahahah mkuu daviey69 angekuwa anavutia labda...ungemjua sasa!!!!

Ukute huyo shosti hana hata wa kumlipia kweny daladala!
Ulijitajid mdogo Wangu

Asante sana dada snowhite...it means a lot!!
Kesho utakuwa upande upi?
 
Last edited by a moderator:
Mkaguzi wa polisi wa 2012 hawezi kuwa na mshahara kidogo hivyo leo. Nimeipenda hii story lkn ubunifu wa kazi ya mwanaume haufanani na hali halisi. Huyo Vaileth haogopi mtandao wa polisi na kubambikiwa kesi au anataka kupindua gari? Hata hivyo demu wako anakupenda na ndo maana katoboa kuwa ni rafiki zake ndo walomshawishi (Adam na Eva?). Anyway, ni mtunzi mzuri wa riwaya. I appreciate you man!
 
sijui nipaste hapa :

March, 2014

Mentor: “Good morning sunshine”
Winnie: “Good morning darling, how are you”
Mentor: “Am good and not so good”
Winnie: “Why, what’s wrong dear?”
Mentor: “I miss you badly”
Winnie: “ooooowh! Thanks d...I miss you too, you know!”
Mentor: “I do! I do! I just can’t help it though”
Winnie: “Haya bana…ila tumeonana juzi tu over your birthday”
Mentor: “Yeah…but that was way back in January!”
Winnie: “By the way, I could come over during sabasaba, si kutakuwa na long weekend!”
 
Kwani future yako na Winnie ilikuwa nini Mentor
Pole mwaya tumia marafiki zako kumshawishi pengine kesho atasafiri
 
Last edited by a moderator:
haroo afande Mentor turitafutie sababu riwinnie rirare sero hata siku mbiri riache kuchezea hera za umma

Sauri niritaka kumfanyizi rikitu ra namna hiyo rakini kwa huyu vaireti wa Shirima, iri iwe funzo kwake na wengine wenye tabia kama zake!

oooh Mentor wewe na story zako daaa

ulichoma mahindi then ukachoma mishkaki

...........NON REFUNDABLE...........

ICHANA wankumbushia machungu tu! Hata pole????

Upo Mwanza?

mwallu ivi unajua afande E.E Mentor ana kamchepuko afu kako mwanza? Hili jina la winnie linanipa mashaka sana maana linashabihiana na jina la binamu yake mke wangu charminglady.

Conflict of names tu mkuu @c6!

Una nini na mke wangu? Amesema hajui!??

Mkaguzi wa polisi wa 2012 hawezi kuwa na mshahara kidogo hivyo leo. Nimeipenda hii story lkn ubunifu wa kazi ya mwanaume haufanani na hali halisi. Huyo Vaileth haogopi mtandao wa polisi na kubambikiwa kesi au anataka kupindua gari? Hata hivyo demu wako anakupenda na ndo maana katoboa kuwa ni rafiki zake ndo walomshawishi (Adam na Eva?). Anyway, ni mtunzi mzuri wa riwaya. I appreciate you man!

Thanks for appreciating spade4spade...ni shida kuwaelewa hawa dada zetu!

NB: Hizo sentensi mbili za mwanzo sijakusoma vyema...resend!
 
Last edited by a moderator:
kifupi ni kwamba umekutana na malaya ndugu yangu chapa lapa! mwanamke ambaye ana consultants kama mia hivi tena mashankupe huyo hakufai ndugu, mtu anayejielewa hana muda huo, tena ndiyo anatakiwa awe wa kwanza kukushauri matumizi sahihi ya pesa, ili hata anapokuja kukubomua pakubwa wala usiwe na shaka!
 
ungekuwa karibu ningekupigia makofi kama hivi jj.jpg

maana umenigusa sana kwa hii maneno
kifupi ni kwamba umekutana na malaya ndugu yangu chapa lapa! mwanamke ambaye ana consultants kama mia hivi tena mashankupe huyo hakufai ndugu, mtu anayejielewa hana muda huo, tena ndiyo anatakiwa awe wa kwanza kukushauri matumizi sahihi ya pesa, ili hata anapokuja kukubomua pakubwa wala usiwe na shaka!
 
Dunia ya Leo hakuna mapenzi, zamani sawa saiv ni urefu wa mkono wako ndio unakupa penzi zuri na mwanamke mzuri, huo ni ukweli,yale mambo nampenda jinsi alivyo hayapo, na kingne wanawake wa leo hawaulizi tena kabira gani wewe anaanza kazi gani unafanya??!!!
 
Hahahahahhahaha pole sana afande Mentor. Msalimie huyo Winnie au kama vipi nipatie namba yake niwasiliane naye ili niongee naye biashara muhimu
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu Mentor kajifunze uwe romantic na wewe
ticket miaezi mitatu bado unasubiria tuu aise hapo kweli kaona hapa kauzu
Ila nae huyo hafikirii mpaka ashauriwe na mashosti wakati mapenzi ni ya kwake
 
Last edited by a moderator:
Kwanza stori yetu ya binti wa waziri haikuisha ukakimbia mitini

Pili huyo Winie wako achana naye au mpe muda akue kwanza maana anaishi kulingana na matakwa ya marafiki zake

Tatu,endelea kuwa mtu mwema ila don't over expect things,especially from ladies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom