Mimi ni Polisi: Fastjet

Mimi ni Polisi: Fastjet

Nimejitolea mhanga aniamishie mm
Bint wa kike hawezi kumchomesh mahindi kiivi
Pata picha kamshahara kotee kakata tiket ya ndege ...daaa kweli mapenzi upofu

Nataka nikukatie ticket ya ndege ya kuja Dubai 2015 usinitose...!!
 
wacha akukimbie tu inawezekana na yeye ulimkera kwa kutomalizia kisa cha mke wa waziri.......hii stor kama ya kusadkika vlee kama nikweli mlikuwa mnaishi tv lovee jamaa yaan siaminiiii
 
Mkuu mwekundu mbona unanisingizia aise Mentor yanamkumba kwa kupenda saaana mpaka anajisahau na akitoswa anaumia sana
Sijui kama hapa alilifaidi tunda au ndo alikuwa anategemea kuja kufaidi tunda lake na ticket yake ya ndege miezi mitatu kabla
Tatizo Mentor akipenda anaingia mzima mzima(anaweka moyo) mfundishe 21 century ukipenda unatakiwa kuweka tu kucha siku akikutosa huumii na inaota tena that's our principle #TeamB
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Mentor akipenda anaingia mzima mzima(anaweka moyo) mfundishe 21 century ukipenda unatakiwa kuweka tu kucha siku akikutosa huumii na inaota tena that's our principle #TeamB

Kwangu utazama mkuu..
Chezea mapenzi.utafikiri kucha kumbe umezama
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Mentor akipenda anaingia mzima mzima(anaweka moyo) mfundishe 21 century ukipenda unatakiwa kuweka tu kucha siku akikutosa huumii na inaota tena that's our principle #TeamB

Kabisa Mentor akishaambiwa anapendwa tuu ni balaa atafanya kila kitu kuonyesha kuwa anapenda na anapendwa hajui kuwa hatakiwi hata kuonyesha tofauti yoyote
Na asiingie mzima mzima awe mguu mmoja ndani na mwingine nje ili akitoswa wala isiwe tabu unakung'uta vumbi unaendelea mbele na maisha
 
Last edited by a moderator:
Menthor
Mtoto niponaye huku Mwanza najipakulia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom