Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, nimetengeneza website

Umejitaid kwa level yako, ila kwa business bado endelea kujifunza techenologies inayotumika saiv : technologies uliyotumia ni ya zamani. Hongera kwa kusubutu kwa hiyo level unayo.
 
Kutokana na counter una total visitor watu 600 tayari unawaza matangazo unataka watu waeke matangazo kwako.

mkuu Hembu mmwagie na kummegea mautundu MDOGO wako huyoo ili naye aweze kukamilisha ndoto zake kwa kweli KWA level yake ya elimu kafanya kitu kikubwa sana aisee.
 
mkuu Hembu mmwagie na kummegea mautundu MDOGO wako huyoo ili naye aweze kukamilisha ndoto zake kwa kweli KWA level yake ya elimu kafanya kitu kikubwa sana aisee.

mimi kitu ninachoamini ili ufanikiwe unatakiwa ufanye kitu kwa passion then hela zitakuja automatic, ila kama mtu anaanza kufungua kitu ili apate hela then tamaa ndio zitakazomuendesha na tutakuwa tumeongeza blog nyengine ya udaku/ngono
 
Uko Vzr dogo ila cha kushangaza ni kuwa unataka pesa mapema sana, Isitoshe hii Idea sidhani kama wew ni wa kwanza kuna myelimu kwa mahesabu ya haraka haraka umecopy idea na wew ukatengeneza website yako.

sitaki kukupinga ila lazima uambiwe ukwel na matangazo hayaombwi hivyo ukienda kwenye makampuni lazima muuingie mkataba na wanasheria zao sis tunataka Unique pageview 50K per day Mfano wew hata Buku huna kajipange upya.

Mim nilikuwa kama wew nilifungua Blog zamani mpk leo inafanya poa Google nilikuwa napiga Views 20K kwa siku kwa habari za global njoo sasa kuomba tangazo nilisaga soli nilikuwa natembea mpk mahardware hakuna kitu makampuni yote ya simu hamna nikaona isiwe shida nikawa nafanya kwa Hobbie mpk kesho
 
Mawazo na mafanikio mazuri. Pengine marekebisho madogo katika aina ya rangi tu kwa baadhi ya subsection ili kuvutia watu/kuepuka matumizi ya rangi kali(bright colours). Yaani bright colours huvutia kusoma(hasa mitandaoni) lakini hazipaswi kuwa bright colours nyingi kwa pamoja.

Again, Hongera.
 
Idea sijakopi kwa mtu angalia Kuna periodic table, dictionaries na hata calculators ambazo myelimu hazipo
 
Asante kwa ushauri naombeni ushauri jinsi gani nitaifikisha sehemu nzuri na ikaweza kufahamika matangazo sio lazima Sana. Asante
 
Nakushauri uondoe hizo link za kudownload vitabu haraka sana huo ni wizi wa hakimiliki ya mtu na kuna chance kubwa hiyo site yako itafungwa mtu akikuripoti. Otherwise endelea na kujifunza umefika mbali kwa form 4.
 
Hongera sana ushauri ni kuwa endelea na shule sambamba na kipaji chako, kinyume na hapo hamna kitu,pili kwa wenzetu hicho sio kipaji kwa sasa wanayajua hayo wakiwa shule ya msingi
 
Hongera sana dogo.Vipaji kama hivi havitakiwi viachwe vikiteketea.Anastahili support kubwa kutoka wizara ya sayansi na technologia .Hongera sana
 
Back
Top Bottom