Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, nimetengeneza website

Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, nimetengeneza website

Aurelio_CSM

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
57
Reaction score
22
Naitwa aurelio chelestino mofuga. Nimehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari kitwiru ya iringa mjini. Nilipokuwa kidato cha tatu nilitengeneza system ya kompyuta kwa ajili ya kusomea wanafunzi wa shule za sekondari.

Idea yangu hii ilishinda katika kongamano la sayansi na teknolojia la watoto.

Nilishindwa kuianzisha iwe website kwa sababu ya kutingwa Sana na masomo.

Ninatumia mitandao ya kijamii kuweza kuwafikia watu mbalimbali.

Nimefanya mabadiliko makubwa ya muonekano wa website hii na toka tar 17/09/2015 website hii imekuwa hewani mpaka muda huu. Tarehe 16/10/2015 katika mahafari ya kidato cha NNE website hii ilizinduliwa na Mgeni rasmi. Nina uwezo WA kutengeneza website, systems mbalimbali na pia database mbalimbali. Nina uelewa wa programming language mbalimbali Kama vile html, JavaScript, css, php na bado ninaendelea kujifunza zaidi. Ninaomba ushauri wa jinsi gani nitaweza kuindeleza na kuitangaza website hii Ili ifahamike zaidi. PIA ninakaribisha watu wanaohitaji website na database kwa bei nafuu. Sasa hivi ninaishi iringa mjini. Jina la website Ni Elimu Yetu

Unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia

WhatsApp: 0759060408

Mobile phone: 0759060408 na 0655160408

Email: aureliochelestino@gmail.com.

Asante Sana

a4297de011505ab05e39194ee005bfc0.png
 
e85dcf3a868061da990541aa09a399f5.jpg
f0d63058dd21aba0eb47d051e2950511.jpg
c7206bf096392fdb692e247402ee9da1.png
 
Attachments

  • InstagramCapture_79c723e1-53b0-4aa9-907c-d1dec62526ab.jpg
    InstagramCapture_79c723e1-53b0-4aa9-907c-d1dec62526ab.jpg
    11.9 KB · Views: 379
Kutokana na counter una total visitor watu 600 tayari unawaza matangazo unataka watu waeke matangazo kwako.
 
so far so good!!! css naona hujaitendea haki, color selections na arrangements uziweke poa... ungetumia bootstrap labda ingekua rahisi zaid, all in all GOOD
 
Ubarikiwe kwenye juhudi zako za awali kuelekea kwenye ulimwengu wa kiteknologia na kibiashara... Big up :thumbup:

Ila pesa isije ikakukwaza kujipatia elimu baada ya O'levels.. 😉
 
wewe ni jinsia gani,nikipata jibu naweza kukusaidia ufike mbali sana hatimae uwe katika level za kina bill gates
 
Hongera kijana, mwanafunzi wa kidato cha nne tena shule ya kata, kitwiru, niliwahi kwenda huko. Umejitahidi sana. Kwa Sasa Nakushauri ujikite zaidi kunoa ujuzi kabla ya kuanza biashara. Hii itakusaidia kufanya vitu bora zaidi na vyenye ushindani.

Hongera sana
 
Hamkawii kuleta siasa na ushirikina kwenye uzi za maana kama hizo pia??? Nendeni mkanywe maziwa mkalale, muda wenu wa kusinzia umeshapita saa nyingi...
 
hongera sana, ila modes waziunge maana zipo post mbili. umefanya kazi kubwa sana, watalaam msaidieni afikie mawazo yake
 
Back
Top Bottom