Tafuta jina feki utumie humu tunatumia majina feki ili tuwe huru kusema chochote.Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
Tafuta jina feki utumie humu tunatumia majina feki ili tuwe huru kusema chochote.Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
Min-me huyu naye anakula vitu sisi hatunaga kwere mkaribisheSikupokei , kafie mbali.
View attachment 3596932
Kuna nyuzi hutochangia kabisakiaje wazee
Mfano za mafwele🤣🏃♀️Kuna nyuzi hutochangia kabisa
Na kwenye avatar naiona picha yake halisi kabisaJanja kaingia kichwa kicha kabisa full details kua makini mdomo unaponza
Karibu Sana bwana abdallah sadiki mohamediHabari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
Bora ubadilishe Jina, huku sio mchezondiyo
Haya karibu, hizo "daaah" zinatosha sasa. Anza kuwa seriousndiyo
Nishakushutikia, I'd yako ya zamani iko wapikwanini
Hiyo picha uliyoweka hata asante hakuna?kwanini