Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kweli, ukiwaandaa watoto kisaikolojia wanaweza kuwa na discipline ya kutosha na wakafanya vizuri kwenye masomo.
watukutu huwa ni wale wasiopenda kusoma,waachwe waende wanakotaka
 
Na wewe unajiita mwalimu. Rudi shule kwanza, usiichafue taaluma ya elimu na ukurya wako. Kwenda kule
 
Unaona mwenyewe sababu ulizotoa mashiko less
 
Lile toto lifukuzwe shule kabisa. Hakina faida ningelivunja miguu mimi.
Yani unanidindia mbele ya darasa mburaaaaaa...
 
mpaka kieleweke !!
make naona Msako wa Mwl Frank ni mkubwa Kuliko LUGUMI
Mkuu moghasa hasira uliyonayo wewe ni kiduchu sana, mimi toka jana nimelala tu ndani sijatoka nina hasiraaaaa hata kazi sijaenda makusudii kabsa!

kinachojengwa na kinachotafutwa na serikali hii kwa walimu muda si mrefu watakivuna!

Uadui na uhasama unaojengwa kwa walimu vs wanafunzi mtashuhudia muda sio mrefu mtu ameliwa nyama badalaya hivyo vikofi viwili mnavyovipigia kelele as if kuna mauaji ya halaiki yamefanyika!

wait & see,
 
Nyie mnaolalamikia walimu kwan kuna haja ya kuwapeleka watoto wenu shule kwa hao walim, waachen watoto wenu nyumban mtawafundisha wenyew, hata nyinyi c mmesoma hayo masomo!!!!


Double standards, na walimu kama hawawezi ku-deal na watoto wakae nyumbani wafanye mazoezi ya ubondia.
 
Af hii dhana hii!
 
 
Naona nawewe unataka kufukuzwa kama kweli wewe ni mwalimu!!!! Mtoto akijitetea sio kwamba ana kiburi anajitetea. Angalia kama utetezi wake ni wa uongo ndipo uchukue hatua. Tena tumeambiwa kumbe sheria ni viboko vitatu tu!! Nyie mbona mnawapiga lundo la viboko!!! Big up Prof. Ndalichako, Mwigulu na Simbachawene. Fukuza tu hawa wanaopiga watoto! Wanapiga utafikiri wako vitani nao. Si muende Syria mkawapige ISIS!!!! Tutawasifia sana na kuwapa hongera. Waacheni watoto wetu!!!! Mwite mzazi wake sio kuwapiga hivyo.
 
Mkuu tena mtoto asijichanganye kipindi hiki ambacho waalimu tunasimangwa !!

Hasira za Bomberdier kuitwa [HASHTAG]#pangaboi[/HASHTAG] serikali inahamishia kwetu !!
Anyway nisiongee mengi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…