Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kwani mwanafunz karuhusiwa kumpiga mwalimu ngumi? Ukitaka kutetea jambo kwanza,lichukulie ktk upande wako..


mwanafunzi gani kampiga mwalimu ngumi..? njoo na video au picha sio maneno matupu sawa then ongea facts sawa
 
Natafuta maticha kama hawa nina mpango wa kufungua shule ya watoto watukutu...kule huwa hatupigi hivyo tuna adhibu effectively... tena wazazi wenyewe watafurahi.. tunakaribisha wanafunzi wa international na wale wa medium pia
 
kama kweli ww ni mwalimu kaombe huku chuon ulikosoma wakurudishi ada yako
 
We unadhani yaliyorekodiwa ndo yaliyotokea tu? Ndo maana una haha!!

najua kuna yaliyo tokea ila yameonekana yale sasa pale hata kesi dogo anashinda na ndiyo mtu yeyote mwenye akili zake atakapo anza ku judge huko nyuma hatuna evidence yoyote kama mwalimu alipigwa ngumi au la ni maneno matupu ila hapo mwanafunzi anapigwa na video ipo mkuu bado unataka kubishana..?
 
Wachache wenye huu uelewa wako. Wanafikiri its easy just like that.
Unajua watu hawajatambua kitu mpaka sasa ufanisi na bidii maofisini ni zero yote haya ni msingi mbovu unaojengwa mashulen kutoka na kuingiza siasa ..
Mzazi bila aibu unatoa Mapovu kisa Mtoto wako kapigwa na mwlm ..

Utakuta toto darasan zero kabisa kazi kiangalia porn tu mwlm akijaribu kumkanya mzazi anakuja juu. Shenzy kabisa ..
Mm nakumbuka nimewahi kufungwa mikono na Mwlm wangu nilipigwa fimbo zaidi ya 25 na sikujaribu hata kumwambia baba kwasababu najua ningemwambia ningekula shambork zaidi ya hyo ..

Ningekuwa mwlm mm ningekuwa jela tayar kutokana na maadili ya watoto wa siku hizi nisingekubali mzazi mjingamjinga unanijia juu ningezaa naye
 
Du naomba nikiepuke kikombe hiki.....
 
Hii mikopo ya kununua smartphone kwa wanafunzi kwa ajili ya porn video na matukio ya kijinga yametufikisha hapa. Msinihukumu Mimi kilaza napita tu kwenye huu uzi.[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Aaaah jirani, usiniambie nawe umewahi kuwa mwalimu, ukakimbia ukatuachia msala wenyewe!!
yeah jirani nilikuwa mwalimu, miliweka malengo yakufundisha isizidi miaka 6, kabla sijatoka, na nilitimiza miaka 4 nikiunganisha, miaka 2 ndio nilikuwa full time teacher iliyobakia nimekaa mwezi au siku kadhaa...
lakini hadi sasa nafundisha lakini kimtindo mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…