Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

What goes around comes around.....huyo mwanafunzi hayuko salama, yapo ya kumpata. Malipo ni hapahapa duniani.
 
Nawahurumia sana waalimu wanawakat mgumu sana serikali imewatenga, wanafunzi wanawadharau wakitaka kuwanyoosha serikali na wazaz huwajia juu dah! Inauma sana pole sana waalimu lakn ikumbukwe kwamba nyie ndio mzizi Wa uhai Wa nchi..
 
Laana hiyo[emoji134] Ndicho wazazi wengine mpaka kiwafike ndio akili zitafunguka!!!
 
Leo sasa Nimepata jibu kua kwanini yule mkUu Wa mkoa aliamua kuwachapa !!! Kazi ya Ualimu ni wito lakini sasa hivi imekua kimbilio la waliofeli na kukosa pakwenda sasa kufanya upuuzi kama ule sishangai ...Mtoto kama kagoma kuna adhabu mbadala kama kumwita mzazi wake na aadhibiwe mbele yake au kusign black book kisha aadhibiwe au kurudishwa nyumbani kwa muda kidogo ! Ila sasa Hawa walimu Wa sasa hivi wanasahau kazi waliosomea na kuvuka mipaka na kua kama kikosi cha kutuliza ghasia au ......Badilikeni bwana ...
 
Inategemeana na mazingira ya ukaidi na misbeheve ya huyo mtoto ! na wewe badilika buanaaa...
 
Tahadhari tafadhali mleta mada waliompiga mwanafunzi yule si walimu ifahahamike bali ni wanafunzi wa ualimu wamempiga mwanafunzi mwenzao.Hivyo wasiharibiwe sifa walimu wa tz wenye sifa ya uadilifu,wavumilivu hata wakinyimwa stahiki zao kwa makusudi wameendelea kuwa wazalendo
 
Mkuu inawezekana huyo mwanafunzi ndo huyu Frenki keshakuwa naye mwalimu. Mbona atawa bonda sana watoto wetu.
 
Nawahurumia sana waalimu wanawakat mgumu sana serikali imewatenga, wanafunzi wanawadharau wakitaka kuwanyoosha serikali na wazaz huwajia juu dah! Inauma sana pole sana waalimu lakn ikumbukwe kwamba nyie ndio mzizi Wa uhai Wa nchi..
Wachache wenye huu uelewa wako. Wanafikiri its easy just like that.
 
Jisome kwanza wewe alafu hayo mabadiliko unayoyaimba yaanzie kwako na uwe MZAZI kwa wanao.
 
mhhhhh sidhani kama sio waalimu !! kinachomfanya mtu kuwa mwalimu ni ile profession na sio ajira !!

hata kama dokta yupo tu nyumbani kama alisomea udokta basi ni dokta huyo.
 
Nawahurumia sana waalimu wanawakat mgumu sana serikali imewatenga, wanafunzi wanawadharau wakitaka kuwanyoosha serikali na wazaz huwajia juu dah! Inauma sana pole sana waalimu lakn ikumbukwe kwamba nyie ndio mzizi Wa uhai Wa nchi..
Huwa nakukutaga sehemu unamwaga pumba sana Mgirik, kumbe huwa unajielewaga eeeee.
Safi sana.
Kitu kizuri lazima kisifiwe kwa maana hakuna asiyepitia kwa mwalimu.
Tuko pamoja mkuu
 
Taifa linapitia kipindi kigumu cha kiwango kikubwa cha mmomonyoko wa maadili......

Huwezi kuamini maneno haya kuwa yanatoka kwa mtu....ambaye jamii na taifa kwa ujumla vimemuamini kusimamia maaadili ya vijana wetu.....

Hawa ndio wapishi wa wajenzi wa taifa la kesho kwa kutuandalia wataalamu wa fani mbali mbali.....
Kupitia haya unayoyasoma unaweza ukajenga picha kuwa tunajenga taifa la aina gani siku za usoni....???

Unaaweza ukapata picha kuwa ni kwanini taifa limefikia hapa lilipo sasa kielimu na kimaadili.....kwa ujumla...

Haya si mambo yaliyozuka tu kama upepo... hapana.....haya ni mambo yaliyojengwa na kuachwa kwa miaka mingi na haya ni matunda yake......

Tunatambua kuwa kada ya ualimu inakumbana na matatizo mengi.....lakini mbaya zaidi na nyinyi waalimu mmeshakuwa ni sehemu ya tatizo hilo.......

Hakuna haki bila ya wajibu......wakati unapigania haki zako unatakiwa ujiulize je wewe mwenyewe umetimiza wajibu wako....!!? Isije kuwa unadai haki ambayo hukuitimizia wajibu wake......

Je unadai malimbikizo ya madai yako kwa mwaka mzima je mwaka wote huo....ulikuwa unahudhuria darasani na kufundisha ipasavyo......???

Unadai nyongeza ya mshahara je huo uliopo unautendea haki kwa kuulipa kwa kutimizia wajibu wake...!!??

Maadili yanaanzia ngazi ya familia....hawa tunaowalea katika misingi mibovu ya maadili....ndio hawa wanaokuja kuwa waalimu.....ndio hawa wanaokuja kuwa wanajeshi na mapolisi......sasa unategemea kuwa watakuwa watumishi wa aina gani......wakati yeye mwenyewe kwenye akili yake msamiati wa maadiii haupo.....!!!??

Nasikitika kuwa tunajenga taifa la watu wajinga na wapumbavu kwa kuwa hata hao waliotakiwa kuwatoa ujingani vijana wetu ni wajinga pia na wapumbavu........

Ni mpumbavu pekee kama sio mjinga mwenye kuja hapa na kutoa maelezo kama aliyotoa mtoa mada......

Katika mataifa yanayojua thamani ya elimu na madhara ya kuwa na walimu kama mtoa mada kwenye mfumo wa elimu huyu mtu angeshachukuliwa hatua zamani sana.....na pengine kufungwa.....inawezekana huyu mtu ni mzoefu wa kutenda unyama huko mashuleni kwa mgongo wa adhabu......inawezekana huyu bwna amehusika na matendo mengi ya kikatili na kidhalilishaji dhidi ya wanafunzi huko shuleni.....tutayajua mengi baada ya kumtia ndani na kumbana bara bara....hawezi kuwa kayasema haya hivi hivi tu....lazima kuna namna tu....

Shime shime mamlaka husika zimshughulikie huyu bwna mara moja.....na naomba mods mtoe ushirikiano katika hili...kwani hili linagusa taifa hasa ukizingatia wakti tuliopo.......

Kuwa na waalimu kama hawa ndio maana wazazi wengi jamii za wafugaji hawaoni umuhimu wa kuwapeleka watoto shule....ni mzazi gani atavumilia kumuona mwanawe kila siku anarudi na manundu kutokana na vipigo vya walimu pasi na sababu za msingi....!!???

TANZANIA NJEMA ITAJENGWA NA WAZALENDO NA WANAOTIMIZA WAJIBU WAO.....
 
Hahahaaaaa walimu wajiendeleze hata wakiwa kazini, simu za mkononi sio udaku na kushinda JF tu.
Utajuaje kama wengine wapo zaidi ya hizo walipopitia maishani...

Zitto Kabwe kaandika kitu wamerusha uzi re walimu wa sasa.
Mie ni mwalimu, najua nini naenda kufanya katika kazi yangu.
Hayo aliyoandika Zitto, yasome wewe kwa faida yako ili uelewe.
Aliyenilipia ada tu, hanipangii cha kufanya, iweje wewe tuliyekutana hewani unipangie cha kufanya?
Unajua elimu yangu kwa kupitia ninachoandika hapa?
Udaku una rangi gani kwa mfano?
Simu yangu, jua kuchat na ku-comment, mengine wala hayakuhusu my dear.

Mpaka nimefika hapa, unajua changamoto gani nimepitia?
Please, sio wote wanaoshinda Jf hawana kazi.
Sisi tumeshajitambulisha kazi zetu, una lingine?
Udaku nafanya na Jf naingia, labda uibe password yangu.
 
Walimu wamechachamaa kwenye huu uzi
.
Madame b Mtoto wangu anasoma kwenye Shule yako. Jumatatu nakuja twende one to one...tehe
 
Hiyo comment yake niliishia kumhurumia tu maana kumuelewa huyu mtoto aandikacho, inahitajika uwe mwalimu.
Mie hadi huwa nahisi dishi lake limeyumba ila kwakua wote ni shabiki wa baba Tifa huwa nampa like tu ila sijawahi kuelewa anachoandikaga nadhani angeenda MMEMKWA
 
Teh teh teh teeeeeh!!!
Naona umelauuuuumu walimu, haujaongelea chanzo hata kidogo, kwahiyo hapo bado sana kuelekea huko unakokutaka.
I wish ningeandika kitu fulani sema kitakuwa kirefu sana.
 
mleta mada
uwalimu changamoto sana!
ikumbukwe walimu sio maroboti, ni watu kama wengine na wana moyo..
haiwezekani mwanafunzi apigwe vile bila kosa la kustahili mkong'oto!!!

hakuna anaependa dharau
ukicheka cheka na nyani utavuna mabua!
ukiwachekea wanafunzi saana ,hata pasipo stahili watakuvua suruali utembee uchi..

kwa matendo aloyafanya yule kijana, kama ni kweli
mimi saivi ningekua ukonga!!
 
Haka kakitu kadogo kila mtu anakijuta ndalichako, yani vitu vya kajinga Watz ndo mnafunguaga matundu yooote ya miili yenu kupiga kelele, mmepata pa kupigia kelele tumieni nafasi, wakati mkingoja tukio jingine...... Ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…