Kwani kushinda jf inahusu nini???
We ni nani hadi upangie wapi nini cha kufanya, umejiendeleza hadi elimu gani hapo ulipo?
Tena mtafutie mume mapemaa nunda kama yeye wakatoshane.
Sasa wewe hutaki kupangiwa cha kuandika mbona unapanga walimu wasishinde jf utadhani jf ni yakoHeheheeeeee kituko cha mwaka, usinipangie nini na wakati gani niandike unayotaka kuyasoma.
Yaandike wewe usomwe...pita huko..
Unahasira na maisha yako wewe kuanza kuniandikia upupwu wote huo mie tu.
Haya uliyesoma wewe hongera jipigie vigelegele.
We hebu mtake radhi huyo dada, unataka atuonyeshe alichonacho!! Hebu fuatilia tu comment zake utagundua ni jinsi gani walimu tuna mizigo.na we usijekuwa kama johnson meki na english yake ya have been !
show us what you got , sio zitto kutoa mawazo yake ndo unaafiki 100% ! na bado unajiita msomi!!
Uwe unachalenji mama ,hata kama msemaji ni Morgan Freeman.
Tanzania tuna safari ndefu sana! Hasa sisi tunaojiita wasomi.
Hayo mabadiliko anza nayo wewe kwa kuanza kujifunza kuandika.....Hakuna la kubisha, walimu wengi wasio penda kazi yao hawakosi kuwa na simu juu ya meza zao darasani na inawachukulia muda...badala ya kuwaza kuendeleza wanafunzi vyema wao akili sinuni meseji, udaku, jf kuna nini leo...
Hii kitu sio ya kubisha
Itabidi walimu wa wakuu wa shule haswa za setikali waanze kupewa uelekezi wa walimu kutotumia simu wakiwa katika kipindi na hata kutotumia hadi masaa ya shule yakiisha au hakuna kulipwa mshahara. Kama wanataka basi watumie wakienda breki tu..na kama kuna dharula badi shule iwe na namva ya wao kupatikana wanapohitajika na ndugu na jamaa...na itaeleweka.
Ni wakati wa mabadiliko sasa.
Mzazi tu unaandika xana imagine mtoto wako atakuaje
Unaonekana huna kazi basi gubu la kiswahili limekukaa!!Hakuna la kubisha, walimu wengi wasio penda kazi yao hawakosi kuwa na simu juu ya meza zao darasani na inawachukulia muda...badala ya kuwaza kuendeleza wanafunzi vyema wao akili sinuni meseji, udaku, jf kuna nini leo...
Hii kitu sio ya kubisha
Itabidi walimu wa wakuu wa shule haswa za setikali waanze kupewa uelekezi wa walimu kutotumia simu wakiwa katika kipindi na hata kutotumia hadi masaa ya shule yakiisha au hakuna kulipwa mshahara. Kama wanataka basi watumie wakienda breki tu..na kama kuna dharula badi shule iwe na namva ya wao kupatikana wanapohitajika na ndugu na jamaa...na itaeleweka.
Ni wakati wa mabadiliko sasa.
Huu uandishi nawe utakutwa unamtusi mwalimu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Lkini Huoni kua umeshapoteza hajila yako kwa hasira??,hasirahasara.
Hiyo comment yake niliishia kumhurumia tu maana kumuelewa huyu mtoto aandikacho, inahitajika uwe mwalimu.Katika watu ambao hawajuagi kuandika humu lady YOU ARE AMONG na ni kiswahili tu kinakupiga chenga, hizo lugha za kigeni unazojua wewe ni zipi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti zaidi ya baba yake frank!!sorry best si unajua tena nimechafukwa umakini unapungua !!!!
nizaidi ya baba yake na Frank!!
😀 😀 😀
Wafundisheni watoto wenu kwanza maadili.muwe walimu walio na maadili.
Roho mbaya kama sura yake.Wala hayuko mbali, huyu hapa
View attachment 414753
Hahahaaaa!! Akitaka kuzurura apitie na jukwaa la udaku, huku kwakweli anajionea tu, kuzito hakumhusu hata kidogo.Hayo mabadiliko anza nayo wewe kwa kuanza kujifunza kuandika.....
Hujui chochote kuhusu ualimu we kaa celebrities forum tudiscuss mambo ya kina diamond na kiba basi
Mie sio mwalimu bana. Ila ukinipa chaki naweza kusimama pale ubaoni. Si unajua tena siku hizi ualimu kila m2 anaweza. Aliyesoma engineering, mazingira, au hata aliyemaliza F.6 utamkuta kapelekwa ualimu. Wao wanadai wanaziba pengo la uhaba wa waalimu. Sasa haya ndo matokeo yake ya kuparamia watoto kwa mangumi na mateke.kwa hiyo we uko FEZA
We kipaji chako umbea, kapige tu umbea kule, huku umepotea njia mama.Eeeeh, mtoto anahusikaje hapa
Aaaagh ndio tabu ya kutokujua vipaji vilivyopo kwa binadamu....eti unacheka kuandika
Wengine kuandika kunawaletea mpunga mrefu...kituko duh
Ualimu ni ajira tusichoshane.wito gani unasaini mkataba wa kazi !!?
Hahahaaaa....eti utadhani jf ni yako!!!! Mkuu punguza jazba.Sasa wewe hutaki kupangiwa cha kuandika mbona unapanga walimu wasishinde jf utadhani jf ni yako