Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

HUJAELEWA
 
Duh aliyefanya ujue hivyo ni mwl, ni sawa na kumwambia mdingi mbona hukumkandamiza maza ningezaliwa kidume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huna mtoto bado! Ukipata wa kwako ndo utajua uchungu wake.
Unampiga mtoto wa mwenzio kama mwizi!
Acha kutetea ujinga.
Najua wanafunzi wanakera ndio, lakini si kwa kipigo hicho! Mijanaume mizima imeshiba yote imemvamia mtoto ambae hata maziwa aliyonyonya kwa mama yake bado hayajaisha mwilini!
 
Labda nisimfahamu!!

Na huko jela waninyonge wakiniachia tu !!
Namtrace Google map au Google goggles.
Hujakutana na watu wa Mbeya eenhe! Hao walimu waombee kuadhibiwa tu, la sivyo watakiona cha mtema kuni.
 
Tubadilike tuwe makondakta au tuweje?
 
Lkini Huoni kua umeshapoteza hajila yako kwa hasira??,hasirahasara.
 
Duh mhitmu wa BRN wewe lazima utakuwa na mke wa BRN na mitoto ya BRN.
 
I have got two beautiful kids !! by the help of Holy Ghost, am doing my best to shape them!!

But waki-misbehave kwa kiwango cha lami, I will let them face their denstiny !!!
 
eti kipigo,kipigo?unajua kipigo wewe.toto limepapaswa tu makele nchi nzima
 
Kwani mwanafunz karuhusiwa kumpiga mwalimu ngumi? Ukitaka kutetea jambo kwanza,lichukulie ktk upande wako..
 
I have got two beautiful kids !! by the help of Holy Ghost, am doing my best to shape them!!

But waki-misbehave kwa kiwango cha lami, I will let them face their denstiny !!!
If you have children of your own then this thread was a joke! You just wanted people to comment!
 
If you have children of your own then this thread was a joke! You just wanted people to comment!
Umeelewa mnilivyomalizia lakini !!? " i will let them face their.... " if and only if they undergo highest mischief !!

YES I WILL LET THEM BE!!!!!
 
Hahahaaaaa walimu wajiendeleze hata wakiwa kazini, simu za mkononi sio udaku na kushinda JF tu.


Utajuaje kama wengine wapo zaidi ya hizo walipopitia maishani...

Zitto Kabwe kaandika kitu wamerusha uzi re walimu wa sasa.
Kwani kushinda jf inahusu nini???
We ni nani hadi upangie wapi nini cha kufanya, umejiendeleza hadi elimu gani hapo ulipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…