Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi kichapo cha hivyo nimekulaga sana halafu nikirudi home mzee ananiuliza na akiona nilizingua ananishushia kichapo kingine yaaani nashukuru mpaka leo nna nidhamu ya hali ya juu na nnajitambua mwenyewe na kuwa mkweli wa nafsi yangu na si kupalilia ujinga
 
Asante
 
Kuna wanafunzi kama 10 hivi wa kdt cha nne(wawili hadi jela walishafungwa), hawa kwanza wangekuwa waache shule kabisa tokea kdt cha tatu, walimu tumehangaika kweli, wakarudi shule ila kila siku ni majanga,ni wavuta bangi na watumiaji wa miraa na virobakwenye mitihani wakiingia wanaandika majina tu then haoo wanasepa, wakitoka wanaanza kujisifia.

Tukaita wazazi, akaja mzazi wa mmoja tu nae alimpiga mwanae hadi mtoto kakimbia, akatuambia 'ndugu walimu kuanzia leo huyu sio mwanangu na hata mkiniita tena siji hata kwa mtutu'

Nikaamua kuubeba mzigo wa hawa watoto, kuongea nao nikakuta historia zao zinakaribiana wooote, wamelelewa ktk mazingira yasiyo na upendo kabisa, wengine wanajilea wenyewe, nikaanza nao councelling n other programs, nilijua wakibadilika atleast wawili itasaidia kuwabadili wote.

Mwisho wa siku wakabadilika ila ndio ile too late, now wanajutia hatari wanatamani angalau wapate cheti ila ndio labda Mungu atende miujiza.

Tunafanya kazi ngumu mno alafu mnakuja kuleta fyoko fyoko wakati nyie ndio chanzo cha hayo matatizo yote!! Msitegemee walimu tutende miujiza, badilikeni nyie mlee watoto wenu. Wengi watoto wanalelewa na mahouse girls wengine mtoto anaanza boarding akiwa chekechea, huyu upendo wa mzazi anaujua saa ngapi!!!
 
Mzazi akitimiza majukumu yake kisawa sawa na mtoto akawa mtiifu nani atapoteza muda kumtandika??

Tatizo wazazi tumeshindwa malezi tunawapelekea waalimu mitoto iliyoshindikana. .... Halafu mnataka waalimu wawachekee.

Mlee mwanao ktk maadili mema uone kama atapigwa hicho kipigo cha kifedhuli..... Huyo mwanafunzi ni fedhuli alistahili kunyooshwa.


Mtoto asiyefunzwa na ***** hufunzwa na Ulimwengu.. Huyo dogo ulimwengu ulikuwa unamfunza.....
 
Mimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?
[emoji23] [emoji23] pole sana mwalimu
 
Hahaaaaa!!! Hodi kwa mwalimu haziishi hadi kesi za nyumbani utadhani mwalimu ndio mjumbe wa nyumba kumi, leo wanajifanya wajuajiii, narudia tena nyambafuuuuuuu!!!

Wametukalia kooni hatupumui, kesi zao na watoto wao waende polisi huko ndiko wanaojua sheria.
 
Wale waalimu nawasifu kwa kumnyoosha yule dogo ..Sema tu wamenikwaza hawakumpa kichapo kizuri...


Yule wangempiga wanachanganya na adhabu za kijeshi ..... Hadi mkojo umtoke. Hapo asingerudia tena
Wazazi wanatamani kupasuka 😀😀😀😀
Ila serious, tubayokutana nayo ni mengi asee
 
Ukiwapa hela ya tax unaona umewasaidia wakat serikali inawanyanyasa? Upuuzi mtupu bora wamalizie hasira kwa matoto yenu
 
Kweli kabisa watoto wengine no problematic hasa akimuona mwalimu mpole. My take...if u c this report to the headteacher and suggest asiudhurie vipindi vyako kuepuka kufungwa au kupoteza kaxi kwa jaziba. Wote we know we have igos once bruised u can do the imaginables. ...poleni walimu.
 
We mzazi umemshindwa mwanao ulomzaa si aibu hiyo, unategemea nini zaidi!! Si umpeleke polisi angalau apelekwe jela akafanye shughuli za ujenzi wa taifa.
Tukiamua kucharukiana watakaoumia ni watoto so msijitoe ufahamu kabisa.
Tushirikiane tu ili tuwasaidie watoto wa taifa lijalo.
 
Yaani kuna muda huwa natamani ningekuwa mwalimu wa primary maana sekondari khaaaaaaah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…