Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mwalumu kweli umeguswa mpaka unasahau spelling sahihi. Copral punishment ndo nn?? [emoji1] [emoji1]
 
nyie vijiwalimu vya BRN tabu sana...

kufundisha hamjui, adabu hamna, kiingereza hamuwezi...

mnachoweza ni kuvaa milegezo na kupaka poda tu.

ndio maana wanafunzi wanawadharau, ... mnacho deliver madarasani ni hovyo hovyo ....

kiama chenu kimefika, mtaendelea kunyooshwa mpaka mtajuta kuwa waalimu.
 
kama unajiamin kwa kiingereza post tena kwa lugha hiyo then twendelee !! members wengine watajaji !!

kama huwez kaa kimya !!
 
kama unajiamin kwa kiingereza post tena kwa lugha hiyo then twendelee !! members wengine watajaji !!

kama huwez kaa kimya !!
wewe ni likanyaboya tu.

ati wewe nawe mwalimu!!!!!!

fani ya ualimu siku hizi ni ya hovyo hovyo tu kama hawa ndio walimu wenyewe wa BRN.

mnajaza matope tu kwenye vichwa vya wanafunzi!!

unafundisha kitu gani wewe!!!!!!!!!!!
 
Jamaa wale walitembeza kipigo cha mbwa mwizi ni ngumu sana kueleweka katika jamii,ila watoto wa kiafrika wako tofauti sana na watoto wa kizungu ilo inabidi tulikubali,mtoto wa kiafrika bila mjeledi huwezi tengeneza nidhamu ya kweli,mwafrika mwafrika tu hata viongozi wa kiafrika ndo maana wengi wanaenda kinyume na demokrasia,yaani bila shuruti sisi waafrika hatuwezagi kufata sheria.Pamoja na mambo mengine mjeledi mashuleni uendelee kuwepo ila sio mjeledi kama wa wayaudi!!!.
 
Inawezekana na wewe ni mzazi wa BRN ila hujijui manake huyo mwalimu hakufundishwa peke yake akiwa shule.Humo humo walitoka madocta,wanasheria, wafanya biashara nk.
 
wewe ni likanyaboya tu.

ati wewe nawe mwalimu!!!!!!

fani ya ualimu siku hizi ni ya hovyo hovyo tu kama hawa ndio walimu wenyewe wa BRN.

mnajaza matope tu kwenye vichwa vya wanafunzi!!

unafundisha kitu gani wewe!!!!!!!!!!!
Acha porojo, umeambiwa urudie post yako kwa Kiingereza tujue how competent you are!! Sio unapanua mdomo tu kama mamba humu ndani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…