Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Achana NAHOO?! nawe ni mwalimu?! kama ndio basi lazima wanafunzi wawe manunda maana hata somo la kiswahili unashindwa kumfundisha unategemea atakuheshimu kweli?
kama umemwelewa, basi hilo ndio lengo la mawasiliano !!
 
Pumba tu. Wala ualimu hauko unavyodhani! You are too low in this profession. Hadi unatia huruma. Labda utujuze nani alikulazimisha kuwa mwalimu?
 
Pumba tu. Wala ualimu hauko unavyodhani! You are too low in this profession. Hadi unatia huruma. Labda utujuze nani alikulazimisha kuwa mwalimu?
'am too low because your milky thing inside your calabash on top your neck is too low !! up root it !! then I will surely change !!
 
I LIKE THIS JOB !!


BELIEVE ME I AM A TEACHER !!!
 
kama umemwelewa, basi hilo ndio lengo la mawasiliano !!
powa mwalimu, na poleni kwa kazi ngumu mliyonayo sasa hivi kumekuwa na msemo mtaani mtot akiwa mtukutu anaambiwa ngoja uanze shule utakoma, haaaahaaa, sasa nimeelewa ila punguzeni kidogo.
 
Ila kweli kwenye malezi ya yule dogo kuna tatizo maana dogo ni kama scopion, kichapo chote kile lakini hakulia, kuna tatizo maana kama mzazi mtoto amerudi home kaumizwa namna ile lazima utake kufuatilia huko shuleni kuna nini mpaka mtoto awe vile, na kama dogo hakusema ukweli kuwa waliomfanya vile ni walimu wake ni wazi alitambua kosa lake ni kubwa ndio maana akaficha ukweli, wazazi kuwa karibu na walimu kwa maendeleo ya elimu yao ni muhimu sana, ila tukianza kuwalaani na kuacha wafanye watakavyo hizi tabia za aina hii zitageuka kwa wazazi unamchapa mtoto na e anarudisha kivchapo kwa mzazi.
 
Mwalimu mwenzangu naona umeamua kutoa ya moyoni.
Hongera mana ukweli humuweka mtu huru.
Kwavile kijiko kinafanana na chepeo watu wameshindwa kutofautisha !!
 
Enzi zangu nikiwa nasoma walimu kama nyie sijawahi waacha ....ulizia historia yangu hasira na utu uzima wako peleka kwa mkeo na watoto wako
Nakukunja hautasahau maisha yako yote
 
Because of people like you the world is full of GAYS ,!! try to shake your shrunken potato !!
 
Enzi zangu nikiwa nasoma walimu kama nyie sijawahi waacha ....ulizia historia yangu hasira na utu uzima wako peleka kwa mkeo na watoto wako
Nakukunja hautasahau maisha yako yote
Hukupata mbabe !! eti ulizia historia yangu " ntauliziaje anonymous! dv 5 kazi sana
 
Nyie mnaolalamikia walimu kwan kuna haja ya kuwapeleka watoto wenu shule kwa hao walim, waachen watoto wenu nyumban mtawafundisha wenyew, hata nyinyi c mmesoma hayo masomo!!!!
 
Bravo...kudadeki.
Hasa mitoto ya hii Secondary ninayofundisha hapa, ipo siku nitaitegua nyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…