Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Acha kudanganya watu wewe basic salary ya mwl mwenye degree yaani TGTSD1 ni tshs 716000 (laki saba na kumi na sita elfu tu) na take home yake haifiki laki nne na nusu
siyo mwalimu mwenye degree sema mwalimu mwenye degree anaanza na na pesa hiyo.Wapo wanaopokea milioni mbili sa basic ambao ni walimu
 
Tupe mrejesho mkuu; ukiajiriwa....hata uongeze juhudi vipi....pato lako haliongezeki; lakini ukijiajiri na ukawa na juhudi pato linaongezeka
 
Me nliupenda ualimu toka moyon yn kila nlipokua nkiingia darasani ht kama Niko na stress bs zte zilipotea ...kushika chaki ..kufundsha somo nnalolipenda ..wanafunzi wangu kufaulu na sifa nlizozipata na heshima kwangu vilinijaza furaha Sana ..ila ilibd niache kaz baada ya miaka miwili jp nlilipwa vizur am 25 cna mke wala anaentegemea ila nataka nifike mbali zaidi ya hisia za 'marasi' ..nataka niwe milionea hd bilionea ..nlifungua bsness ya kuni nkaibiwa mtaji ukafa ..nkarud tena nkaboresha now nmekua kibiashara jp cna kitu nauza kuni na plastic chupa ..lait km ntapata mtaji mkubwa kidg ndani ya mwaka naweza tengeneza hd milion 18hd 20 ...karibu mkuu
 
Jifunze kwanza kuandika vizuri mkuu unaandika Kama freshers
 
Acha kudanganya watu wewe basic salary ya mwl mwenye degree yaani TGTSD1 ni tshs 716000 (laki saba na kumi na sita elfu tu) na take home yake haifiki laki nne na nusu
acha uongo basic n 733000 take home 573000
 
wanajeshi wana faida kubwa sana ,ndio wanaolinda mipaka yetu, ndio wanaosababisha tulala kwa amani ,tunafanya biashar kwa amani ,so niwatu mhimu sana kuliko wote Tz
Unawzaje

Katika watu ambao naona hawana umuhimu kwenye nchi kama ya kwetu ni wanajeshi yaani hawa jamaa ni hasara
 
MUDA-hii ndio asset kubwa naona binadamu tunakuwa nayo tu,sio pesa,ardhi wala utajiri.....kwanini walimu wengi tunakuwa masikini?....jibu ni rahis sana tunaibiwa MUDA.....Naondoka geto saa 12 asubuhi narud saa 11 jioni mshahara lakini nne.....haya tucalculate kwa siku unalipwa sh ngapi....ni kama 12-14 elfu....remember we have bills to pay unakula,unanunua mahitaji binafsi kama vocha,vitu vya urembo,unavaa,unakunywa,unalipa kodi,unapanda boda or bajaj or daladala,all that vinahitaji pesa...so,ukipokea mshahara you have to pay everyone and unabakiwa na kidogo sana au huna kabisa.......Kwanini nasema tunaibiwa muda...i speek from experience...Mimi nina biashara ya studio ya kurusha nyimbo nimemwajiri kijana mmoja,palle jamaa anapata hadi 15k per day na kila siku anakula hapohapo na tunagawana pesa inayopatikana daily lzm anipe kati ya elfu sita mpaka saba,what if ningeifanya hiyo bussiness mwenyewe niweke na vitu vinginr vya kuuuza?....nakosa muda.....okay second,nina pikipiki aina ya boxer siku za weekend nakaa vijiweni navizia abiria wale wa kuita boda ndio nawabeba yrna if only nimeweza kuwabahatisha lkn napata like kama 8k mpaka 12k kutoka kama saa tano mpaka saa 12 jioni.....siku za kazi nashindwa maana nakosa muda......One day nitaondoka and i think the day is very soon just because natafuta muda....siondoki huku nikiwa na mindset za kuajiriwa tena,inatosha hii miaka 6 ya mateso ya kufokewa,kudhulumiwa na kudharauliwa pia kufanyishwa kazi zinazozid na zisizolingana na mnachonilipa.....i would rather stay unemployed but be hapy.......i have my TIME and my MIND let me use those assets i have!
 
Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.

Maswala ya kushauriana na brain yako tu, unayaleta humu kweli
 
Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Kaka nami sinamda nitakuunga mkono huo ndio ukombozi
 
Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
tupe mrejesho , miaka miwili ishapita sasa
 
mwalimu wa degree anaanza na 733000 basic tak home 573000
Sio kweli anaanza na 716,000/= na hiyo take home ni kama hana makato HESLB, 733,000/= ni baada ya increment mbili. Kwa kawaida mshahara wa mwalimu hauzidi 450,000/= hapo hujalipa bills na gharama zingine usilogwe ukakopa.
 
MUDA-hii ndio asset kubwa naona binadamu tunakuwa nayo tu,sio pesa,ardhi wala utajiri.....kwanini walimu wengi tunakuwa masikini?....jibu ni rahis sana tunaibiwa MUDA.....Naondoka geto saa 12 asubuhi narud saa 11 jioni mshahara lakini nne.....haya tucalculate kwa siku unalipwa sh ngapi....ni kama 12-14 elfu....remember we have bills to pay unakula,unanunua mahitaji binafsi kama vocha,vitu vya urembo,unavaa,unakunywa,unalipa kodi,unapanda boda or bajaj or daladala,all that vinahitaji pesa...so,ukipokea mshahara you have to pay everyone and unabakiwa na kidogo sana au huna kabisa.......Kwanini nasema tunaibiwa muda...i speek from experience...Mimi nina biashara ya studio ya kurusha nyimbo nimemwajiri kijana mmoja,palle jamaa anapata hadi 15k per day na kila siku anakula hapohapo na tunagawana pesa inayopatikana daily lzm anipe kati ya elfu sita mpaka saba,what if ningeifanya hiyo bussiness mwenyewe niweke na vitu vinginr vya kuuuza?....nakosa muda.....okay second,nina pikipiki aina ya boxer siku za weekend nakaa vijiweni navizia abiria wale wa kuita boda ndio nawabeba yrna if only nimeweza kuwabahatisha lkn napata like kama 8k mpaka 12k kutoka kama saa tano mpaka saa 12 jioni.....siku za kazi nashindwa maana nakosa muda......One day nitaondoka and i think the day is very soon just because natafuta muda....siondoki huku nikiwa na mindset za kuajiriwa tena,inatosha hii miaka 6 ya mateso ya kufokewa,kudhulumiwa na kudharauliwa pia kufanyishwa kazi zinazozid na zisizolingana na mnachonilipa.....i would rather stay unemployed but be hapy.......i have my TIME and my MIND let me use those assets i have!
Mkuu tatizo kubwa ni inferiority complex zilizotukuza ndio tatizo....

Nikiumwa itakuwaje......

Biashara ikigima siku hiyo nitakula nini.....

Je nukipata ajali wapi nitapata kiinua mgongo...

Biashara haina Mafao, labda ujiwekee akiba mwenyewe (tunasahau miaka unayopoteza mpk kupata mafao yako )

Hata nikiwa mzembe mzembe mwisho wa mwezi mshahara wngu lazima nivute.......

Bima za matibabu......

Mikopo napata kwa urahisi (wkt mikopo yenyewe ndo chanzo cha umaskini)

nk nk nk
 
MUDA-hii ndio asset kubwa naona binadamu tunakuwa nayo tu,sio pesa,ardhi wala utajiri.....kwanini walimu wengi tunakuwa masikini?....jibu ni rahis sana tunaibiwa MUDA.....Naondoka geto saa 12 asubuhi narud saa 11 jioni mshahara lakini nne.....haya tucalculate kwa siku unalipwa sh ngapi....ni kama 12-14 elfu....remember we have bills to pay unakula,unanunua mahitaji binafsi kama vocha,vitu vya urembo,unavaa,unakunywa,unalipa kodi,unapanda boda or bajaj or daladala,all that vinahitaji pesa...so,ukipokea mshahara you have to pay everyone and unabakiwa na kidogo sana au huna kabisa.......Kwanini nasema tunaibiwa muda...i speek from experience...Mimi nina biashara ya studio ya kurusha nyimbo nimemwajiri kijana mmoja,palle jamaa anapata hadi 15k per day na kila siku anakula hapohapo na tunagawana pesa inayopatikana daily lzm anipe kati ya elfu sita mpaka saba,what if ningeifanya hiyo bussiness mwenyewe niweke na vitu vinginr vya kuuuza?....nakosa muda.....okay second,nina pikipiki aina ya boxer siku za weekend nakaa vijiweni navizia abiria wale wa kuita boda ndio nawabeba yrna if only nimeweza kuwabahatisha lkn napata like kama 8k mpaka 12k kutoka kama saa tano mpaka saa 12 jioni.....siku za kazi nashindwa maana nakosa muda......One day nitaondoka and i think the day is very soon just because natafuta muda....siondoki huku nikiwa na mindset za kuajiriwa tena,inatosha hii miaka 6 ya mateso ya kufokewa,kudhulumiwa na kudharauliwa pia kufanyishwa kazi zinazozid na zisizolingana na mnachonilipa.....i would rather stay unemployed but be hapy.......i have my TIME and my MIND let me use those assets i have!
Umenitamanisha na vihela vya kitaa...I wish ningekuwa mwanaume ningepigaje kazi?
 
Back
Top Bottom