Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,094
- 4,396
Mkuu uzuri wa shamba inategemea na vipaumbele vyako unataka kulima kilimo cha namna gani hasa.Mkuu upo Mori sehem gani. Mi naishi Iringa natafuta sana sehemu ambayo naweza kupata shamba zuri lenye maji kwa kilimo. Morogoro niliwahi kuplan kuhamia huko lakn mambo yakakwama nikaahirisha. Mkuu naomba mrejesho wa sehem gani nzuri
Kuna baadhi ya wilaya wamebase kwenye kilimo cha mpunga tu na nyinginezo wanalima mazao mbalimbali.
Jambo la msingi sana ni kupata shamba lenye chanzo cha maji ya uhakika. Usikimbilie kumiriki shamba kubwa lisilo kidhi hadhi ukaishia kulaumu make morogoro ya sasa sio kama zamani mvua zimekuwa haba sana.
Mimi mashamba yangu yapo wilaya ya Mvomero. Zao kuu la biashara ni mpunga na mahindi japo kila zao linastawi.