Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Pole sana single lady wengi ni wa aina yako
uzuri umejitambua na ukishajua ugonjwa ni rahisi kuutibu......

Nilishawahi kuwa na rafiki yangu kiukweli wka malezi yangu na yeye nilikuwa namshangaa sana maana ule haukuwa uchagu was too much..... choo kinakuwa cheusi tandu za buibui mpka mlangoni vumbi ndio kabisaaa unaabakisha nyayo.

Menigne ni aibu kwa kweli. Na bado anakuambia nataka kuolewa apaa
usafi muhimu mkuu mimi shida yangu asubuhi
 
Pole sana, jitahid kujibiidisha katika mambo yako.Malezi ya utotoni inawezekana yamekuathiri
 
Pendelea kufanya mazoezi, tafuta marafiki wanaopenda mazoezi utafadika vingi kuepuka uvivu, akili na mwili kuchangamka na afya nzuri.

*uvivu ni dalili ya kuridhika na maisha uliyoishi*
hao marafiki nitawatoa wapi wakati tunafanana tu au vile wao hawasemi?
 
Simple. Kwanza anza kurekebisha the way unavyofiri.. kuchukulia vitu kirahisi. Jizoeshe kufanya mazoezi... fanya mazoezi everyday.

Jitahidi sana ukazanie mazoezi... itakusaidia sana.. maana kama umefika umri wa kuwa na familia alaf bado uvivu unakusumbua ,haitakuwa vizuri.
 
hivi mkuu unaweza tu kuamua kufanya mazoezi ? utafanya siku mbili tatu unarudi pale pale .
nipe plan b !
 
Back
Top Bottom