Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

wale masalia wa udom naombeni mkae pembeni maana sitaki maneno yenu naongea na watu wazima wenzangu!

wadau nin shida moja katika maisha yangu mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.
kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwa kupata supp hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa tena nilikuwa nimelazwa nikatoka hosptal asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.
sasa tatizo linakuja kwenye maisha mimi ni mvivu kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna. hadi nirudi jioni.

nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha
nikienda benk sihesabu hela jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu kwenye daladala nilipewa hela feki hivihivi maana hata sikuangalia.
naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima naitaji kuwa na familia na kuwa mama bora.ndo maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje? natamani kuwa active . hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani
Vp ukigegedwa unakuwa mvivu pia?
 
If your too busy with social media lazima uwe mvivu, punguza kidogo fanya mambo ya msingi kwanza
 
Hamna anaeweza kukusaidia! Tena ukiwa na mtu mwingine utajibaraguza kua active siku za mwanzoni na hali itarudi tu kama zamani.
Kubadili tabia yoyote inahitaji sacrifice. Make a decision kubadilika leo na stick to that decision. Andika unavyotamani/unavyotaka kua na ufuatilie everyday no matter how uncomfortable it gets.
 
Jitahidi utafute rafiki/mchumba aliye opposite kabisa na wewe kitabia (active and Punctual), ktk ku-keep up utajikuta umebadilika kabisa.
 
pole! ila nahisi kuna jambo hujamalizia kama nalo ni mvivu
 
miss wewe si mvivu. maana nakuona huwa unachangia(comment) kwenye mabandiko mareefu ambayo wakati mwingine mtu mvivu hawezi kuyasoma. kitendo cha kuchangia maana yake unayasoma.
ila hapo kwenye kua single embu twende pm huenda safari hii ikaanzisha nyingine,,😉😉
 
Hamna anaeweza kukusaidia! Tena ukiwa na mtu mwingine utajibaraguza kua active siku za mwanzoni na hali itarudi tu kama zamani.
Kubadili tabia yoyote inahitaji sacrifice. Make a decision kubadilika leo na stick to that decision. Andika unavyotamani/unavyotaka kua na ufuatilie everyday no matter how uncomfortable it gets.
asante kwa ushauri.wewe huwa unaamka saa ngapi?
 
miss wewe si mvivu. maana nakuona huwa unachangia(comment) kwenye mabandiko mareefu ambayo wakati mwingine mtu mvivu hawezi kuyasoma. kitendo cha kuchangia maana yake unayasoma.
ila hapo kwenye kua single embu twende pm huenda safari hii ikaanzisha nyingine,,😉😉
kusoma sina shida labda kuandika mkuu
 
ahahaa msema kweli mpenzi wa mungu ujue kuna shost wangu tulitoka job tukapitia kwake ni full majanga yaani hadi vyombo vya juzi ahahaaa
Hahaha naic utakua unanisema mm japo naic n vya majuzi Nina uvivu wa mwendokas japo mambo mengine niko poa

Sent from mTalk
 
hivi mkuu unaweza tu kuamua kufanya mazoezi ? utafanya siku mbili tatu unarudi pale pale .
nipe plan b !
Sio mazoezi ya siku mbili tatu. Ni mazoezi endelevu ya kuuweka mwili wako active.

Ndio cha kwanza nimependekeza ni ww urekebishe mind set yako. ujijengee tabia ya kufanya kazi.. sio kila saa.. but anza na hata zile kazi ambazo unaona unaweza kufanya mwenyewe.. zifanye wewe.. . Hii itachukua muda lakin kadri siku zinavyozid kwenda utaanza kuona mabadiliko.
 
U made my day aisee mpaka mkoloni kaja kuangalia nacheka nini..............
 
Back
Top Bottom