Mimi ni muislamu mwanaume, nimempenda binti wa kikristo ananiambia nibadili dini niwe nae

Habari members!!
Kama kichwa habari kinavyosema,
Mimi ni MUISLAMU MWANAUME imetokea kumpenda binti wa kikristo amezaa mtoto mmoja.

Na huyo binti ni mfanyakazi wa bank fulani hapa Tanzania.
Yupo pekeake anaishi.

Imetokea yule binti kumpenda na Mimi kanipenda ila tatizo ananiambia kuwa nikitaka kuwa naye nibadili DINI niwe mkristo.

Je mnanishaurije? Na amenilingishia anataka kununua gari la kutembelea na juzi juzi alikuwa akijifunza gari ili baadae anunue gari lake la kutembelea.

Na Mimi nia yangu kumpata binti mwenye pesa na nimempata ila ni mkristo nifanyaje?

Ushauri tafadhalii.
mkuu wewe ndiye utakuwa baba wa nyumba ila kama unashindwa kufanya maamuzi ya mambo binafsi kama hayo itakuwa hatari sanaa mkuu nakushauri fanya jambo hilo kwa uwezo wako binafsi maana mambo ya imani na dini yanachanganya sana, ukiamua kuwa mkristo uwe kweli mkristo ukikataa kataa kabisa.
 
Habari members!!
Kama kichwa habari kinavyosema,
Mimi ni MUISLAMU MWANAUME imetokea kumpenda binti wa kikristo amezaa mtoto mmoja.

Na huyo binti ni mfanyakazi wa bank fulani hapa Tanzania.
Yupo pekeake anaishi.

Imetokea yule binti kumpenda na Mimi kanipenda ila tatizo ananiambia kuwa nikitaka kuwa naye nibadili DINI niwe mkristo.

Je mnanishaurije? Na amenilingishia anataka kununua gari la kutembelea na juzi juzi alikuwa akijifunza gari ili baadae anunue gari lake la kutembelea.

Na Mimi nia yangu kumpata binti mwenye pesa na nimempata ila ni mkristo nifanyaje?

Ushauri tafadhalii.
Mfanyematusi umjaze mimba kaka zake watalea wajomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari members!!
Kama kichwa habari kinavyosema,
Mimi ni MUISLAMU MWANAUME imetokea kumpenda binti wa kikristo amezaa mtoto mmoja.

Na huyo binti ni mfanyakazi wa bank fulani hapa Tanzania.
Yupo pekeake anaishi.

Imetokea yule binti kumpenda na Mimi kanipenda ila tatizo ananiambia kuwa nikitaka kuwa naye nibadili DINI niwe mkristo.

Je mnanishaurije? Na amenilingishia anataka kununua gari la kutembelea na juzi juzi alikuwa akijifunza gari ili baadae anunue gari lake la kutembelea.

Na Mimi nia yangu kumpata binti mwenye pesa na nimempata ila ni mkristo nifanyaje?

Ushauri tafadhalii.

Mbona umeandika kitoto ivyo?

eti ananilingishia

et gari lake la kutembelea
 
Namuonea huruma baba mwenye mtoto maana alikuwa anamuhudumia mwanae na mama yake sasa unaongezeka na wewe..
 
Dini dini.. pachwari pachwari.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Back
Top Bottom