Baba yake ni daktari bingwa wa wakina mama jina lake linaendana na hela.Mtaje tuu yeye .Yeye aliamua kukufanyia ukatili hivyo. Hakuna haja ya kumuwekea privacy. Unaweza kuja na Id mpya na nyuzi nyingine ukamtaja tuu. Alikufanyia ukatili Sana
Mmmhhh inaonekana zipo mbovu ww?Pole ndugu yangu, kwenye ujana tunapitia mitihani sana ukinusurika unamshukuru Mungu, mana idadi kubwa kabla ya ndoa kwenye ku date huwa tunajisahau na kujikutana tumewaamini watu tunao date nao tunajiachia huku hata kupima hatujapima. Nakumbuka nilipopata mchumba anataka kunioa akaniambia cha kwanza kupima uuuwi nilienda kwanza mwenyewe but still niliyakimbia majibu, uzuri nilienda na rafiki yangu nikamuomba akanichukulie mana mimi nilishakimbia nikamuacha pale hospitali, aliponiambia nimeyachukua uko Negative nilihisi kama kiumbe kilichozaliwa upya, baada ya kama mwezi nikaend tena hospitali nyingine this time peke yangu, nikakutwa negative ndo nikapata sasa nguvu ya kwenda kupima na mchumba wangu
Asante sana mkuu. Lakini tiba ninayopata ni nzuri mno. Nitabaki na dawa za hospitali tu. Mama yangu mdogo aliondoka baada ya kuacha dawa na kunywa kikombe cha babu wa Loliondo.Ndugu huku Tz wapo wazee vijijini ambao wanatibu hiyo kitu unakuwa mzima kabisa lakini wazee wenyewe hawana umaarufu wala mbwembwe wapo kigoma, Mtwara, nk jitahidi ukipata likizo uje bongo ukakae bush kwa hawa wazee ndani ya mwezi tu unakuwa HIV Neg
Kulalamika na kutuhumu watu bila ya ushahidi wenye mashiko haitakusaidia kitu sanasana utaletewa kejeli na maneno mbofu mbofu
Maadamu umeshajijua afya yako jitahidi kujihifadhi sasa usianze kuusambaza kwa watu kwa kulipa kisasi
Mkuu aliyeniambukiza ninamfahamu, alishaschana na mkewe na alianza kunitafuta ili arudi Ulaya nilimuomba block kila mahali.Ndugu huku Tz wapo wazee vijijini ambao wanatibu hiyo kitu unakuwa mzima kabisa lakini wazee wenyewe hawana umaarufu wala mbwembwe wapo kigoma, Mtwara, nk jitahidi ukipata likizo uje bongo ukakae bush kwa hawa wazee ndani ya mwezi tu unakuwa HIV Neg
Kulalamika na kutuhumu watu bila ya ushahidi wenye mashiko haitakusaidia kitu sanasana utaletewa kejeli na maneno mbofu mbofu
Maadamu umeshajijua afya yako jitahidi kujihifadhi sasa usianze kuusambaza kwa watu kwa kulipa kisasi
Nafahamu hilo wala silipingi binafsi ninaushahidi usio na Shaka ndani yake kuwa watu wamekunywa miti shamba wakapona kabisa lakini madawa ya hospital yanakufanya uwe na muonekano mzuri wa kiafya kiasi kwamba mtu hawezi kuamini kuwa umeathitikaAsante sana mkuu. Lakini tiba ninayopata ni nzuri mno. Nitabaki na dawa za hospitali tu. Mama yangu mdogo aliondoka baada ya kuacha dawa na kunywa kikombe cha babu wa Loliondo.
Hata kaka yangu anaeifahamu hali yangu ameomba nimuahidi kuwa sitaacha kunywa dawa.
Nenda tu peku peku na wewe utaanzisha wakoKwani kuna habari gani mbona nyuzi za ngoma zime ongezeka sana yaani zimeshika kasi msimu huu wa pasaka.
Wacha chai wewe!
Asante sanaPole sana mkuu
Okey sasa si bora angekuowa huyo maana mnaendana kiafya lakini kibongo bongo sasa hivi mtu hata awe fukara kutoka tandale hawezi kukubali kufunga ndoa na muathirikaMkuu aliyeniambukiza ninamfahamu, alishaschana na mkewe na alianza kunitafuta ili arudi Ulaya nilimuomba block kila mahali.
ili uwe undetectable inabid uweje....au vipimo viweje??Hata hospitali tumeambiwa ukiwa undecteble huna haja ya kumwambia date kuwa una HIV, lakini ki sheria mwanaume anaekuoa lazima umueleze.
So unaweza kudate ikawa siri yako as long as humuambukizi date.
Mkuu aliyeniambukiza ninamfahamu, alishaschana na mkewe na alianza kunitafuta ili arudi Ulaya nilimuomba block kila mahali.
Bora nice single kuliko kuolewa nae baada ya unyama alionifanyia.Okey sasa si bora angekuowa huyo maana mnaendana kiafya lakini kibongo bongo sasa hivi mtu hata awe fukara kutoka tandale hawezi kukubali kufunga ndoa na muathirika
Kwaiyo ni bora ukampata mtu ambaye mna share the same health status
Unywe dawa mpaka vidudu kwenye mzunguko wa damu visiwe detectedili uwe undetectable inabid uweje....au vipimo viweje??
Mkuu mwanaume akiwa +ve na hatumii dawa akikumwagia sperms tu umekwishaMkuu inaonekana mulikuwa munakazana sana ,mana huwa nasikia musipochubuana maambukizi hayapo ,hebu nijuze mziki wa jamaa ,au ndo wale wa kusimamia kucha + malengo yake ya kusambaza virus.
Samehe saba mara sabini ikiwa mungu anasamehe wazinzi, majambazi, wauwaji, walevi na watu waovu iweje ww ushindwe kumsamehe kiumbe mwenzio ?Bora nice single kuliko kuolewa nae baada ya unyama alionifanyia.
Ooooh, sasa mbona ni balaa,na hawa nasikiaga mara wanapimwa mwanaume+ na mwanamke-Mkuu mwanaume akiwa +ve na hatumii dawa akikumwagia sperms tu umekwisha
Mkuu he forced himself on meSamehe saba mara sabini ikiwa mungu anasamehe wazinzi, majambazi, wauwaji, walevi na watu waovu iweje ww ushindwe kumsamehe kiumbe mwenzio ?
Kumbuka wote ww pamoja na yeye mmetenda zambi kubwa ambayo inataka kutubiwa na Mungu kwaiyo jaribu kufungua kifua chako
Hata ww umefanya makosa kwanini ulikubali kumsaulia? Haukuwa na hofu ya mungu siku hiyo?