Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Watu wana underestimate spread ya ukimwi, yaani ukifanya mapenzi bila kinga ukabahatika shukuru sana, watu wengi they simply don't care wakidhani waathirika ni wachache, waathirika ni wengi zaidi ya watu wanavyofikiria, waliopima ni wachache.
You are absolutely right,people are taking things for granted,halafu kuna wakati naona kama vile serikali zimerelax wakati watu wana ambukizwa kila kukicha...
 
Shukrani umeweka yako machache.
Ujumbe umeshawafikia.
 
Hujafa hujaumbika, uwe na akiba ya maneno.
 
Hata hospitali tumeambiwa ukiwa undecteble huna haja ya kumwambia date kuwa una HIV, lakini ki sheria mwanaume anaekuoa lazima umueleze.

So unaweza kudate ilawa siri yako as long as humuambukizi date.
Kila la kheri.
 
Yaani wanaume uliokuwa unakutana nao walikuwa wanapima kabla hamjafanya zinaa halafu wewe wanakuacha usipime?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

I rest my case here[emoji119][emoji119]
Humu kuna 'chai' nyingi sana mkuu.
​
 
Hapana ila nilikuwa bf ambae nilizani niko peke yangu kumbe tumepangwa kama watatu hivi, nilipojua nikaamua kujitoa toka hapo nikawa mwenye wasiwasi sana
Usiombe ukadate chitombi then ukajua ni chitombi, walah majibu lazima uyakimbie.
 
Ndio maana watu hawawezi kuleta testimonies hapa, hukuwa na sababu ya kumshambulia mleta mada, ujana unakuja na mengi, wengi tumeleteza na baadhi wameangukia kwenye maradhi kama hayo.

Relax na umshauri na kumpa moyo mwenzetu, don't attack her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…